Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,331
- 16,502
Kwani safari inatarajiwa kuwa lini? Siku zikikaribia ndio tuunde group ili watu wasije choka kabla ya safari
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jamani mpo serious ?
Kwani safari inatarajiwa kuwa lini? Siku zikikaribia ndio tuunde group ili watu wasije choka kabla ya safari
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mambo ya wanajf ukiyachukulia siriaz utachelewa mkuu, kama umevutiwa na huduma we panda basi anza safari huku ukiwasiliana na mleta mada kwa maelekezo.Jamani mpo serious ?
Mambo ya wanajf ukiyachukulia siriaz utachelewa mkuu, kama umevutiwa na huduma we panda basi anza safari huku ukiwasiliana na mleta mada kwa maelekezo.
Huwezi kujibu.Maswali ya kitoto
Kila la kheri sheikhHuwezi kujibu.
Huwezi kuthibitisha.
Ndo maaana unajificha nyuma ya dismissals na broad generalities.
Unge/mngekuwa na uwezo wa kuthibitisha, hilo lingeshafanyika haraka na zamani mno.
Uchawi haupo. Kama upo, thibitisha.
Ku dismiss na kutoa madai hewa, si ithibati.
ok nshaiona tatizo ametoa vipande vipand bila mpangilioooWe labda hujasoma hadi mwisho, mbona alishamaliza siku nyingi tu
Kwani Tanzania hakuna ushoga?? Tanzania yenyewe kuna ubaguzi vile vile!!Kama Mungu hayupo , tunaomba sababu za kitaalam kwa nini Corona ilitukwepa hapa nchini baada ya maombi na kwa nini ilipiga kambi nchi zenye madhambi ya ushoga,ubaguzi nk ?
Ndio tuko serious,december hyo tunapangaJamani mpo serious ?
I forgot to ask you hayo mazingaombwe...wanakudukua na kukuhack "usiku wa ma 8"?!!!
Mimi huwa naamini Corona haipoKama Mungu hayupo , tunaomba sababu za kitaalam kwa nini Corona ilitukwepa hapa nchini baada ya maombi na kwa nini ilipiga kambi nchi zenye madhambi ya ushoga,ubaguzi nk ?
Nikiona mtu anazungumzia uchawi najua kabisa hana akili. Uchawi ndio nini?
Ni Political desease hamna la zaidiMimi huwa naamini Corona haipo
Sisi hatukuishinda Corona tulishinda mtego wa kupigwa pesa na wazungu
Kama ipo ile misiba ya maelfu imeyeyukia wapi na tiba haijapatikana?
Nyamwimbe unakujua mkuu?Bungu A au Bungu B?
Mimi ndio home kule.
Hahahahah daah we jamaa weweWeka namba ya mzee nikachukue kibao ambacho najua kitanisaidia mambo matatu, kwanza kujilinda na uchawi, pili kuwakomesha washenzi wanaoniroga na tatu kitanipa umaarufu maana nikifika eneo la tukio najinadi kabisa kuwa hapa patakufa wachawi watakao nichezea na kwamba mimi sina hatia wakifa maana nawakanya hapa na nyote mnasikia.
Usiku chombo kikianza kumwekua mwekua nalipuliza tartiiiiibu huku nikitabasamu, chupa ya bia ikivunjika natoa sauti kubwa "MAAMAEEEE"
Hata kama upo utakuwa unafanyika kwa siri, Ishu ni kuhalalishwa na hatutakubali uhalalishwe.Kwani Tanzania hakuna ushoga?? Tanzania yenyewe kuna ubaguzi vile vile!
Kwahiyo kwa upande wako shida sio uushoga bali ni kuhalalishwa??Hata kama upo utakuwa unafanyika kwa siri, Ishu ni kuhalalishwa na hatutakubali uhalalishwe.
Hata huko ughaibuni yapo mazuri na mabaya pia, ila tatizo ni pale yale mabaya wanayohalalisha kwao kutushinikiza na sie tu halalishe hiyo ni Big NO.
Swala la ubaguzi hasa wa makabila hapa kwetu bado lipo kuna baadhi ya watu kwenye jamii fulani fulani ni tatizo kubwa sana.
Hayo umeyasema wewe rejea usome upyaKwahiyo kwa upande wako shida sio uushoga bali ni kuhalalishwa??