Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Maswali ya kitoto
Huwezi kujibu.

Huwezi kuthibitisha.

Ndo maaana unajificha nyuma ya dismissals na broad generalities.

Unge/mngekuwa na uwezo wa kuthibitisha, hilo lingeshafanyika haraka na zamani mno.

Uchawi haupo. Kama upo, thibitisha.

Ku dismiss na kutoa madai hewa, si ithibati.
 
Kama Mungu hayupo , tunaomba sababu za kitaalam kwa nini Corona ilitukwepa hapa nchini baada ya maombi na kwa nini ilipiga kambi nchi zenye madhambi ya ushoga,ubaguzi nk ?
Mimi huwa naamini Corona haipo

Sisi hatukuishinda Corona tulishinda mtego wa kupigwa pesa na wazungu

Kama ipo ile misiba ya maelfu imeyeyukia wapi na tiba haijapatikana?
 
Weka namba ya mzee nikachukue kibao ambacho najua kitanisaidia mambo matatu, kwanza kujilinda na uchawi, pili kuwakomesha washenzi wanaoniroga na tatu kitanipa umaarufu maana nikifika eneo la tukio najinadi kabisa kuwa hapa patakufa wachawi watakao nichezea na kwamba mimi sina hatia wakifa maana nawakanya hapa na nyote mnasikia.
Usiku chombo kikianza kumwekua mwekua nalipuliza tartiiiiibu huku nikitabasamu, chupa ya bia ikivunjika natoa sauti kubwa "MAAMAEEEE"
Hahahahah daah we jamaa wewe
 
Kwani Tanzania hakuna ushoga?? Tanzania yenyewe kuna ubaguzi vile vile!
Hata kama upo utakuwa unafanyika kwa siri, Ishu ni kuhalalishwa na hatutakubali uhalalishwe.
Hata huko ughaibuni yapo mazuri na mabaya pia, ila tatizo ni pale yale mabaya wanayohalalisha kwao kutushinikiza na sie tu halalishe hiyo ni Big NO.

Swala la ubaguzi hasa wa makabila hapa kwetu bado lipo kuna baadhi ya watu kwenye jamii fulani fulani ni tatizo kubwa sana.
 
Kwahiyo kwa upande wako shida sio uushoga bali ni kuhalalishwa??
 
Back
Top Bottom