Lunchtime

Hivi kuna "vuruga ya kitiiiiizi" , mimi nilidhani ni vuruga za kuku tu.
 
Upishi huu sijaupata, yaani badala ya kuweka vitunguu karoti na hoho kama rosti badala yake inawekwa ndizi....? Au hizo za njano ni nini? Nyama nzuri ila mie ikiwa mbichi kabla ya kuipika lazima nichune gozi na futa, napenda nyama kwa nyama mambo ya kula futa na ngozi ile zinanikataga stimu na kukifu haraka.

Au nikienda kuagiza jikoni lazima nigombane na mpishi maana bora nikate kilo tatu ndo nile kilo moja hizo nyingine namuachia auze masalo.

Kasie.
 
Sisi tunamla mdudu na mirungi apaa...ohooo[emoji109]
 
Duuuhhh kambwa kadogodogo.. sis wahehhe tunakulaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…