Ngoja ninywe balimi halafu ntagundua siri hiyo!M
MI sijui
Kitambi tu ndio hatukitaki.Asante mkuu
Hapo ni mwendo mdundo,hamna haja ya kuswaki.Hivi mkinywa hivyo halafu mama/baba watoto akataka romance...
huwa mnaswaki kwanza au mnapeana ulimi ivyo ivyo tu? ...
Mbona unakunywa bia huku unauza duka angalia usizidishie wateja chenchi.
hivi mlevi akishalewa huwa anajitambua?Hivi mkinywa hivyo halafu mama/baba watoto akataka romance...
huwa mnaswaki kwanza au mnapeana ulimi ivyo ivyo tu? ...
kuna watu hawalewi..hivi mlevi akishalewa huwa anajitambua?
Dea unapiga ulabu tyuuuuuh
Naona dea unapiga vyombo tyuuuh.
Sawa mamaHujakosea kijana
Nakujaaah now hivoohKaribu wangu[emoji8][emoji8]