SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Jan 5, 2016 #3 PAGAN said: Click to expand... Hahahaaaa! Sahani nzuri hiyo!
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,766 19,298 Jan 5, 2016 Thread starter #5 Th Name said: Basi sawa.. Click to expand... Umeielewa picha? Mi sioni kama ni sawa.
Gefu JF-Expert Member Nov 30, 2010 6,930 2,564 Jan 5, 2016 #6 ....we mpagani mbona una nembo za freemasons kwenye avatar yako...
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,766 19,298 Jan 5, 2016 Thread starter #7 Gefu said: ....we mpagani mbona una nembo za freemasons kwenye avatar yako... Click to expand... Mbona we umeweka picha ya mvuta bangi?
Gefu said: ....we mpagani mbona una nembo za freemasons kwenye avatar yako... Click to expand... Mbona we umeweka picha ya mvuta bangi?
Gefu JF-Expert Member Nov 30, 2010 6,930 2,564 Jan 5, 2016 #8 PAGAN said: Mbona we umeweka picha ya mvuta bangi? Click to expand... ...oooh ok so wewe ni freemason nimeelewa mkuu asante...
PAGAN said: Mbona we umeweka picha ya mvuta bangi? Click to expand... ...oooh ok so wewe ni freemason nimeelewa mkuu asante...
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,766 19,298 Jan 5, 2016 Thread starter #9 Gefu said: ...oooh ok so wewe ni freemason nimeelewa mkuu asante... Click to expand... Je unauhakika hii ni alama ya freemason? Kitu gani kinakufanya useme hii ni alama ya freemason?
Gefu said: ...oooh ok so wewe ni freemason nimeelewa mkuu asante... Click to expand... Je unauhakika hii ni alama ya freemason? Kitu gani kinakufanya useme hii ni alama ya freemason?
naiman64 JF-Expert Member Nov 22, 2013 6,865 5,314 Jan 8, 2016 #10 Hivi anaielewa hiyo sahani? Huruma kwa kweli
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,766 19,298 Jan 9, 2016 Thread starter #11 Hiyo sahani inaelekea imetumika sana