Lunch time.

Kwani si ungepita tu kisingeharibika kitu
Kwani ni lazima kila post za umama ukoment, kama sio Umama na wewe uliokuwa nao, ignored inakuhusu!
Mimi nimekwambia tu? mwanaume unafaa upost maswala ya kaz na sio vyakula maana nyie wanaume wa dar mnamambo ya kike sana
 
Hahahahha nani kasema!! Ila kwanza mkuu unauelewa hasi juu ya matumizi makubwa ya wanga na sukari
Kama unafanya mazoezi au kazi ngumu huwezi kuacha kula wanga, matunda ni kiburudisho at any time unakula, tatizo wanaume wa Dar wamefanya yawe ndo lunch
 
Sie wa dar tunaendelea kula vizuri na vitamu
Na nyie wapori pori, endeleeni kula panya mizizi na majani kama mbuzi
 
Sasa mbona umepiga picha mboga tu au unatuonea aibu kwakua unakula ugali mwekundu?
 
Mkuu siku hizi watu wamehama wajanja wanatumia keto diet haya mambo ya wanga na sukari + mafuta ya mbegu (vegetable oil) watu wamepiga chini
Hivi vyakula wanakula wanaofanya kazi za ofisini. Ukiwa site au unafanya manual works huwezi kuwa na lunch kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…