Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Jingine litarudia July 01.2011.thank kwa info...
Jingine litarudia July 01.2011.thank kwa info...
Chukua camera piga picha then mforwadie popote alipo atapata teacher
Mh! Na hili giza mwalimu... Si ingebidi uwasindikize mmoja mmoja kurudi bwenini sijui nyumbani...au wee mwalimu wa mjini St.nanii...lol
If you have have science or Art ,you have a religion,if you have no science or art be Religious. German poet Nitzeschekweli jografia yangu hapo mwisho, imebaki imani tu!
upo kwenye kile kiwanja cha mgamboMbona huku mpwapwa hatujaona!
haya ni makubwa wandugu!uwiiiiii!mlinzi mpya wa ikulu kapatikana! Hii habari inanifanya nijisikie vibaya. Watumishi wa shetani tu hawa wote
kaka hapo umeniacha hoi masaa ishirini na mbili? mwe,sisi huku kijijini tumezoea mfumo wa masaa kumi na mbili tu! Baada hapo mandalizi kulala.Bila shaka kwa majira haya ninavyoiona ni kama njano na si njano, mwekundu na si mwekundu yani hakika mambo ya MUNGU mwachieni MUNGU na ya ngoso na aachiwe ngoso mwenyewe. Na hapa kwe2 Tanzania ilianza mchezo huo saa 22:10 hv na kuendelea polepole mpk mjr haya ni hivyo hivyo. NA SILALI MPK NIO UJIO WAKE WA KAWA.
Tutegemee nini basi, kwa wale waliozaliwa kati ya tarehe 13 juni hadi 20, na desemba 13 hadi 20 wakae chonjo kwani wana miaka saba ya machungu. Pia kwa wale wenye sayari ktk nyuzi hizi 20-28 Mapacha na Mshale (ikiwemo nchi yetu). Kubwa zaidi kutakuwa na ugunduzi mkubwa wa habari za uongo ambazo zilikuwa zikijulika kama za kweli, hii inaweza kuleta mtafaruku. Kwa kuwa Mars ndiye atakuwa bwana wa kupatwa huku ambako nako kunatokea ktk nyota ya moto - mshale; kwa hiyo machafuko, vifo vya jumla, mioto, vitegemewe sana. Uzuri mmoja ni kuwa Mars akiwa ndiye bwana wa kupatwa ataonyesha na njia ya kutokea pia ktk matatizo hayo.