Lunar Eclipse: June 15, 2011

Lunar Eclipse: June 15, 2011

Wakuu
Msikose kuangalia kupatwa kwa mbalamwezi usiku huu,tukio kubwa la kihistoria
 
umefika nusu sasa,nadhani ndo mwisho wa dunia unakaribia hivo!
 
Danniair Shekhe Yahaya amekuachia urithi nini?
 
Wakuu tizameni nje kupatwa kwa mwezi kunaanza nawakilisha
 
Mkuu hapa Arusha hatuna bahati kabisa. Wingu limetanda na limeufunika mwezi wala hatulioni tukio lenyewe!
 
Jana kuna thread niliileta kuhusu kupatwa kwa mwezi leo hii ni ishara ya kuwa Mungu yupo tunatakiwa kumwomba Mungu katika kipindi hiki.
 
Kesho tarehe 15/6/2011 mwezi utapatwa katika nyota Mshale Kubwa zaidi kutakuwa na ugunduzi mkubwa wa habari za uongo ambazo zilikuwa zikijulika kama za kweli, hii inaweza kuleta mtafaruku..


Hii ni kweli kabisa imetokea, leo Nape kagundua UONGO mkubwa CDM wakati wakisoma bajeti yao kivuli, zile porojo za elimu bure na sementi ya buku tano zimedadavuliwa basi wamebaki na aibu kama wamejinyea.
 
ukiangalia angani kwa makini utaona mwezi unavyopatwa.angalia na wewe.mia
 
Yeah naona umepatwa kwa chini wil it be umbra or penumbra??
Nadhan itakuwa penumbra, penumbra inachukuwa sehemu kubwa alaf umbra itakuja baadae ambayo itachukua sehemu ndogo. Kama nimekosea tayari kusahihishwa!
 
Back
Top Bottom