habar jf,simu yang imedondoka jana na ikapasuka touch,gharama ya lumia 620 touchscreen ni bei gan kwa hapa dar,nimeuliza coz si mzoefu ktk tech. ahsante
hyo 85 ni pamoja na repairing cost au ni touch 2
nenda agrey na msimbazi kaulizie kwa rich
duuh,niliwekewa fake kwa 55,haikukaa zaid ya week 2 ikacrack
Nenda midcom, agents wa nokia tanzania.
Hawatakudhulumu
Mkuu Lumia 720 ya kwangu imepata crack tu na crack yenyewe ukupitisha kidole juu ya crack huhisi kitu. Cost yake ni sawa na iliyovunika kabisa?
Simu inafanya kazi kama kawaida.

kaka hio iliopasuka ni gorilla glass tu wala sio display yenyewe inayoonesha. kwa tz nimeona wanataka ununue full ili wapate faida. mfano hio ya kwako ilioharibika ni 10,000-20,000 bei yake na kioo chenyewe ndio kinafika laki 1 sasa wao wanataka utoe laki 1 halafu utumie kitu cha 10,000 tu vyengine uwabakishie wao.
kama una uwezo wa kununua ebay front panel zipo hadi za dola 6, zipo nyengine za dola 10+ zinakuja full pamoja na vitu vya kufungulia kama screw driver.
lumia 720 front glass | eBay
mkuu hyo 720,dukan ishafka bei gan?