kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,385 Reaction score 642 Jul 15, 2013 #1 Heshima kwenu Wanajamvi! Naomba kujuzwa vigezo vya hii simu inayoitwa Nokia Lumia 720 kuhusu bei, ubora na namna ya kuitambua kama ni original. Naomba kuwasilisha kwenu wazoefu na hii kitu!
Heshima kwenu Wanajamvi! Naomba kujuzwa vigezo vya hii simu inayoitwa Nokia Lumia 720 kuhusu bei, ubora na namna ya kuitambua kama ni original. Naomba kuwasilisha kwenu wazoefu na hii kitu!
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,272 Reaction score 43,172 Sep 22, 2013 #2 Bei ni 520,000 Posta.