beast of kandahar
Member
- Jul 1, 2013
- 98
- 33
Habari za leo wadau,napenda kufahamu je simu hii lumia 640 dual lte imeshafika bongo?
Mikocheni ipoNimejaribu kufuatilia jana na siku mbili tatu za nyuma sijaiiona, nilitegemea kupata airtel shop wameniambia bado. Midcom kariakoo waliniambia mwezi wa nne itakua tayari nimeenda pale mara mbili duka limefungwa nimeambiwaa wamehahama. Sijui Midcom maduka yao yapo wapi tofauti na kariakoo
bulldog said:Nenda Midcom, mikocheni kama unapanda daladala na unatokea morocco omba msaada kwa mwinyi
Bei kakaMbona hii simu ni ya kawaida sana kulingana na specifications zake
Ahsante mkuu, nitafuatiliaMikocheni ipo