Lulu na kanumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lulu na kanumba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by NINJA THE GREAT, Apr 11, 2012.

 1. N

  NINJA THE GREAT Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua walianza mahusiano ya kimapenzi kabla ya miaka 18!
   
 2. M

  M2ru Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  so......?
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Walianza muda mrefu kabla ya kifo cha Kanumba
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kanumba has to rest, plz leave him alone!!!!!
   
 6. k

  kasenene JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  ndugu wakubwa kuna tetesi kuwa simu aliyopigwa usiku ule na kusababisha maafa ilikuwa ni ya waziri fulani...mwenye jina aliweka hapa tumjue inawezekana yeye ndo source ya kifo kwani hata mie mke wangu akinambia anatembea na waziri tena waziri wa mzee wetu wa kichwa cha nazi na jinsi walivyowafuksa na ufisadi lazima nipatwe na brain concusion... View attachment 51538
   
 7. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  inawezekana kuwa baada ya kifo?
   
 8. k

  kasenene JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...
   
 9. M

  Mdogo wake Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani unahitaji nini haswa!
   
 10. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hata sasa bado hajafika 18
   
 11. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hebu acheni ujinga zungumzen mambo mliyokuwa na ushahd nayo au hamna mada za kuandika?
   
 12. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yameshasemwa mengi mpaka sasa wengine wanadai alikuwa anaongea na Zito, jaman heb tuachen haya mambo coz inaonekana kila mtu anasema lake, tuwaachie polisi with time tutajua mbivu na mbichi
   
Loading...