Lulu na kanumba

Lulu na kanumba

ndugu wakubwa kuna tetesi kuwa simu aliyopigwa usiku ule na kusababisha maafa ilikuwa ni ya waziri fulani...mwenye jina aliweka hapa tumjue inawezekana yeye ndo source ya kifo kwani hata mie mke wangu akinambia anatembea na waziri tena waziri wa mzee wetu wa kichwa cha nazi na jinsi walivyowafuksa na ufisadi lazima nipatwe na brain concusion...View attachment 51538
 
kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...
 
Hebu acheni ujinga zungumzen mambo mliyokuwa na ushahd nayo au hamna mada za kuandika?
 
yameshasemwa mengi mpaka sasa wengine wanadai alikuwa anaongea na Zito, jaman heb tuachen haya mambo coz inaonekana kila mtu anasema lake, tuwaachie polisi with time tutajua mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom