Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Marahaba ujambo ?
Thijambo.....
Marahaba ujambo ?
Mkuu umenichekesha
Mnatabiria mwenzenu kifo tuuu....mfyuuuuuuu....
cc: [MENTION=141128]warumi Dinazarde usije huku, ukae huko huko ntakusimuliaaa...
Idris ndo nani ?
binamu nimewamis, niliporwa galaxy yangu kwenye nyama choma sina hamu, ntawapa umbea vizur ngoja kesho nanunua i phone six kwa hasira

Mgombea uenyekiti serikali ya mtaa wa uswekeni.....
Shikamoo...