Lulu ashambuliwa instagram kwa kucopy na kupaste kutoka kwa Rihanna

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Masaa machache tu baada ya lulu kupost mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utavyoonekana, Watu wengi wameanza kumshambulia kwa kuiga pozi la Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana. WEngi wamelalamika na kusema kua amejishusha sana na uchafua sifa ya gazei hilo kwa kucopy na kupaste.

Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... badgalriri badgalriri badgalriri badgalriri badgalriri badgalriri nione basi haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupee

Nawapenda lakini"
 
ungekaa kimya creds zako zingepanda zaidi! Una damu ya kupendwa fine acha wengine waongee you jus keep quite utapata watetezi pale utakapoonewa kimya kingekusaidia mno, kumbuka ishu yako na kanumba ulikaa kimya watu wakakosa la kusema ikakusaidia mno

Don be evoked keep that status itakusaidia zaidi kuliko kuanza kujisifu na kupayuka mitandaoni, hutaweza kupambana na unseen enermies....!!!!ambao ni wengi mno

Bado una njia ndefu sana ya kwenda kimaisha Lulu,kutimiza ndoto zako chagua unasema nini na kwa wakati gani chagua unamjibu nani na kwanini. Uzuri wako ni kama ua la alfajiri halichelewi kunyauka kabla hakujachwa keep your self esteem safari bado ni ndefu

Bado unahitaji support ya kila mmoja katika mafanikio yako kimaisha awe rafiki au adui unawahitaji wote, cha muhimu ni kukaa kimya zaidi
All in all tuachane na hayo , punguza vipodozi vinakuzeesha.....!!!
 
anakuwa bibi sasa hivi
 
Hivi huyu binti atakua ana umri gani nw?

Umri wake ni conditional..
Akiwa hivi kazini kuonyesha maungo yake ni 21
Akipata tena kesi yenye uzito wazazi,ndugu,jamaa na marafiki wanawahi mahakamani kupeleka vyeti vyake ana 17

Na jina pia inabadilika,anatumia lile la kijijini Moshi,nadhani ni Agripina kama sio Manka au Josephina
 
hahaa umenichekesha sana............
kwenye interview anaasema she is 18
kesi inatokea she is 17 duhh
 
lulu kafunika mbayaaaaaa,,, tofaut ni kuwa ririh anatangaza biashara yake ya muziki, wakati lulu anatangaza biashara yake ya.......
 
Duh!umenichekesha kwl umri wa Lulu ni kama tamthilia kila cku episode mpya ahahah....afu khs kucopy na kupast ametisha inamaana wamekosa wazo jipya KBS kwl cc bongo mambulula na bado mtu anathibitishay usenge wake kwakusema imekua topic tubadilikeni dis is too Much jmn tubuni vyetu
 
vyetu vipi? au ulitaka akalie kigoda
 
Anahitaji hata miaka 3 nyuma ya nondo ili ubongo wake utulie tena na akumbuke balaa alilowahi kufanya ni sawa hakukusudia ila jamii inamuhitaji tena akiwa timamu na dawa yake kwa sasa ni jela kama Ray C alivotengenezwa na madawa sasa ivi karudi kwenye ufahamu kila mwendawazimu ana tiba yake tena ikiwezekana judge amueleze kwa utaratibu kua kule ni sehemu ya kurekebisha tabia tu.
 
Kwa hapo kammefunikaa Rihanna jaman japo sikapendiii haka kabintiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom