wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Masikini lulu,sipati picha anavyowashwa na iyo nguo ndefu.mhh khs mimba mbona iyo ilivuma muda mrefu...ishachuja
Nimianini mimi Lulu hana mimba amepimwa na kuthibitika hana mimba. Mengine ni nyago za magazeti.
Jamani Lulu huwa Ana kistachi.
Hata afande kama naye ana wasiwasi ona anavyomtizama.Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo
KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU
:Ombi la wakili wa Lulu kuhamisha kesi mahakama ya watoto lakataliwa mbali baada ya kuwakilisha cheti chenye jina tofauti na la Mtuhumiwa
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael Lulu, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo.
Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.
Hivi wafungwa na mahabusu wengine wanalindwa na nani? Maaskari wanaooneka tu hapo wako zaidi ya kumi, au kwa vile mnasema ni mtoto ndo sababu anasindikizwa na askari wote hao? Kuhusu umri Llulu atuambie mwenyewe kwanini alifanya birthday part ya kufikisha miaka kumi na nana 2011, alimaanisha nini kufanya part hiyo? Nw watu wanaibuka mara ana miaka 16 mara 17 na wakati yeye mhusika anasema ana miaka 18.
Ninyi mawakili wala hamjajitolea kumsaidia lulu, najua mnalipwa sasa mnataka kupindisha sheria, fanyeni kazi kulingana na maadili yenu, najua kuna babu yake na lulu (mjomba wa mamaye) anahela sana, tunajua mtalipwa hela nyingi sana ili kumuokoa lulu na adhabu yoyote but fuateni maadili ya kazi yenu

MH Maadili ya advocates unayajua? Lulu ni client wao kama biashara nyingine yoyote so they have to do whatever is in their means kushinda kesi, so hata wakiongezewa mipesa its olryt!!!!
naomba kutoa hoja!
Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo
Yaani tumsamehe tu, ameshajifunza kwa kweli huyu mtt.Mpaka hapo imeshatosha, amepata adhabu na funzo kubwa. Wamwechie huru akatumike shahada ya elimu dunia
Hana mimba ugali na uji wa jela umempenda.