okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
Ila kuwa mwanamke wa majizo yahitaji uwe na moyo wa ziada
Jamaa anawazalisha tu na kusepa
huo ndo ujanja, na yuko hivo coz anajua hao wanawake alioanao wanampendea pesa tu Evelyn Salt
Ila kuwa mwanamke wa majizo yahitaji uwe na moyo wa ziada
Jamaa anawazalisha tu na kusepa
safi kama alifika ....Alifika ndio alipata div 4 ya 33 niliona kuna uzi waliweka matokeo yake
[emoji23] [emoji23] kama acha kufanisha upyuziNafkiri wameamua kuficha uchumba wao wasiweke mambo hadharani kama Beyonce na Jay Z
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] kama acha kufanisha upyuzi