Lulu afunguka juu ya video ya ngono inayosambaa na kudaiwa kuwa ni ya kwake

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
Lulu amepigiwa simu na kusema mtu huyo hamjui na hakuna hata ishara moja ya kufanana nae, na hata mpenzi wake alivyoiona hakusema kwa kua sio ya kwake kwa kuwa kile alichokiona kwenye video sio 'kitu chake'

Lulu amesema dada huyo sio yeye kwa kuwa hana tatoo kama yeye na meno yake sio ya rangi kama ya dada anayefanyiwa hizo mambo na ana pua kubwa kuliko yake

Anadai video ile alitumiwa na mwanasheria Albert Msando mwazoni ikiwa fulf ikimuonyesha hadi na huyo mwanaume, na huyo mwanaume alikuwa akifananishwa na Msando ambaye alishutshwa na hilo pia
 
Hii mada imeletwa upya. Lulu angekaa kimya tu,video ni ya zamani(tattoo kachora kipindi hiki). Kipindi hizo rasta za gold zinavuma(na asivyopenda kupitwa na fasheni),nani asiyejua mcharuko wa lulu kulewa ovyo kwenye ma baa mpka kuzima
 
Msanii_wa_Kenya_Anahangaika_na_Muhogo_281_29.jpeg


Huyo sio yeye kabisa, wanasema ni mkenya.
 
Back
Top Bottom