kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Anazungumzia mchakato wa katiba mpya. Hana hakika kama itapatikana kwa wakati.
Mkuu kwani wanalipwa kiasi gani mpaka sasa.Hawana jipya,
hii nayo ni aina nyingine ya umbea ndani ya bunge!
Badala ya kutuambia lini watajipunguzia mshahara mpaka shs 5m, wanakaa kutengeneza majungu tu!
Akili za wapinzani zinawatosha wenyewe tu kuzomea wanaona ni bonge la ishu kwao.