Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kama ukawa wanataka marekebisho ya sheria mbalimbali za uchaguzi kwa dharura, basi warudi bungeni tuyazungumze kupitia katiba mpya..
Wanachotaka Ukawa ni bmk kujadili rasimu ya katiba iliyokusanywa na jaji warioba na siyo ngonjera za magamba