Hivi huko CCM kuna mtu wa kumnyooshea mwenzake kidole kweli?
Huwa nawahesabu CCM kama mavi tu...
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
Hili suala la Lukuvi ni la kuangalia sana. Lukuvi hana hatia wala kosa...how about JK?
..unajua matatizo mengi sana ya CCM yanaanzia na JK.
..mtandao, makundi, rushwa ktk uchaguzi, vyote vimetokana na ambitions za JK kuwa Raisi.
..Richmond nayo inaelekea mhusika ni JK kwasababu haiyumkiniki Waziri Mkuu akiuke maagizo ya baraza la mawaziri bila kuwa na baraka za Raisi.
..hata hivyo vitisho alivyotoa Lukuvi ni kama ameiga tu kwa JK.
..sasa mnasema kamati ya maadili itamhoji Lukuvi, kwanini kamati hiyo haianzi na kuifanyia kazi ripoti ya Philip Mangula ambayo ilimtuhumu JK kwa kukihujumu chama??
cc Pasco, Nguruvi3, Mag3
huenda wakahojiwa na
Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia
Balozi Ali Karume.
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
Umeona ehee. Wakihojiwa na chama chao halafu yake nini???..ili wajibu nini?. Ubongo wa kuku...tatizo hii hadithi ni ya kusadikika !
Huyo komba amtangulize Lulu porini kwanza.
kinachotakiwa hapo ni kuchukuliwa hatua sio kuwaoji,huo utakuwa bado ni udhaifu mkubwa wa ccmhuenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
hongera lukuvi