Lukuvi na Kapteni Komba matatani

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.

-------------------

 
Nyani wamekula mahindi shambani halafu haohao nyani wanamwita nyani mwenzao kumuhoji je hukumu itakayotoka unategemea itaegemea upande gani?
 
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.

Hii ni kwa Watanzania MAKINI tu kama mimi. Hoja ya kufikirisha bongo, hebu jaribu kujiuliza kama ingekuwa TL na Jussa ndio wangesema kwamba "KAMA SERIKALI 3 HAZITAPITISHWA BASI TUTAKWENDA MSITUNI" Nini kingewatokea pamoja na kwamba wana kinga ya jambo lolote wanaloongea ndani BMK?! Go figure yourself. BTW, kwanini wanawaonea hao dagaa? Waanze kumuhoji M/kiti wao aliyeanza kuhamasisha MUTINY ya JWTZ.
 

Mdau umenena kwani wangekiona cha mtema kuni kwa kusakamwa!
 
Kuna waliozuiwa kufanya harambee misikitini na makanisani wakaamua kuongeza kasi ya kuhudhuria misiba!
 
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.

kisa-na-mkasa;
Hayo ni maigizo mazuri saana atii. Wanaziba mianya ya wapinzani kupata hoja mujarabu kwenye kampeini mwakani. Wanajua kuwa wapinzani watayaibua hayo nakuhoji kisa na mkasa maneno hayo kutumika kuwaogofisha wananchi kubadili mawazo yao mazuri.
Unamwona kinana anavyopita kila mahali kuwahadaa wananchi kuwa ccm inawajali??? Miaka 50 mlo mmoja tu ni shida, watoto wetu bado wanasomea chini ya mti, shule zoote zimevurugwa ati Elimu kwa wote. Elimu ya kisiasa, hakuna waalimu, maabara, wala nia yoyote ya kuiboresha, hiyo ni ilimu au maigizo??
Nawaonea huruma, wamama wazee wanaoletwa na malori kumsikiliza kinana, wakiambulia pilao wanaapa kuifia ccm. Eee Mola wetu, uujuao ujanja wao, weye mwenyewe uwaghilibu wao wenyewe maskini mlala hoi alale salama tu. Aksante Mola unayejibu, kwani utayavurugha maccm kabla ya 2015.
Nasema, hiyo kamati ya maadili, isikae wala kupoteza mda. Tumeshawajuwa nyiye ni ulaghai tu huo. Nawasilisha.
 
Nyani wamekula mahindi shambani halafu haohao nyani wanamwita nyani mwenzao kumuhoji je hukumu itakayotoka unategemea itaegemea upande gani?

Walitumwa kuvuna mahindi bahati mbaya hawa wawili wakamatwa,sasa sijui kama waliawatuma watawapa adhabu au wataambiwa siku nyingine muwe makini msikamatwe!:thinking:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…