Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

Kwa nini unaita uzi huo ni propaganda? Na kwasababu mi ndo mleta uzi nilitegemea yote yangeweza tokea so sita tumia lugha yoyote mbaya kwa watu kama wewe!

Mkuu unaweza ukakuta huyo unayebishana naye ndo mhusika mwenyewe. Wewe umeleta hoja inatosha, achana na hao wanaokuponda bila sababu.
 
Mnadhimu wa chama tawala CCM bungeni Mheshimiwa williamu Lukuvi ni STD SEVEN (LA SABA)? CV yake inakuja soon.
 
Je content yake kwenye jamii niaje?
 
Mnadhimu wa chama tawala CCM bungeni Mheshimiwa williamu Lukuvi ni STD SEVEN (LA SABA)? CV yake inakuja soon.

Ndo maana! alishindwa! kuijua nahau alotumia Mbunge ya "Kubaka demokrasia" akaomba muongozo wa spika na kusema naomba mheshimiwa mbunge afute neno KUBAKA akifikiri ndo ile maana anayoifahamu yeye. Cha kushangaza hata Mh SPIKA akamkubalia
 
weka cv ya mwenyekiti wako dj kwanza

Ulilalamika alivyokuja UK naakakuchinjia baharini.... leo unamuita Dj.. haa haa haaa haa eti mbunge mtarajiwa wa jimbo la iringa 2015 subutuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ulilalamika alivyokuja UK naakakuchinjia baharini.... leo unamuita Dj.. haa haa haaa haa eti mbunge mtarajiwa wa jimbo la iringa 2015 subutuuuuuuuuuuuuuuuuu
Muulize Lema picha kamili ilivyokuwa wee ----.
 
Back
Top Bottom