Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,150
Habari wana JF wenzangu, natumai mnafurahia weekend ya leo.

Nianzae kwa kusema kwamba kwa muda mrefu tumekuwa namijadala mbalimbali juu ya uhalali wa elimu wanazodai kuwanazo baadhi ya viongozi wetu kwenye taifa hili, naninakumbuka kuna jamaa mmoja alijitokeza na kuwataja na kuandika kitabu juu yaufisadi wa elimu ila siku hizi wala hata sijui yuko wapi maana amekaa kimyasana!Hivi karibuni pia kumeibuka mjadara mkubwa sana juu ya elimu ya Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo na naibu katibu mkuu wa ccm Tanzania Bara Mwigulu Ncheba, na cha kushangaza watu wenye nyazifa zao kwenye nchi hii wanakaa kimya kwenye mambo makubwa kama haya bila hata kutolea ufafanuzi wakati unawaona wwako busy kuzungumzia simple issues inaleta wasiwasi sana juu yao!

Sasa basi ni katika swali hili nimejaribu kupitia CV ya Mh.Lukuvi, mtu atajiuliza kwa nini Lukuvi, ni kwa sababu ya michango yake bungeni na nje ya bunge ambayo binafsi nadhani inakaa kiushabiki zaidi kuliko uhalisia, na pia ikumbukwe kwamba "body language speaks more than the words themselves that some one articulates".Ukimsikiliza hasa kwenye hoja za wapinzani jaa ni too anti- opposition, kuliko kile wanachokisema au kuchangia.

Kwenye CV, yake mbali na kuandikwa kama vile mwandishi kamaliza form 4 juzi shule ya kata fulani, lakini pia inazua mjadala zaidi.

Kwa mfano, kwenye kipengela cha elimu yake kaonyesha hivi,http:School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level, lakini cha ajabu kunasehemu kaonyesha alianza lini lakini sehemu nyingine hajaonyesha wakati sehemu nyingine kaonyesha alimaliza lini lakini sehemu nyingine hajaonyesha? Swali ni je Mh. amesahau miaka yake aliyoanza masomo yake au kumaliza?

Pili, kwenye CV hiyohiyo anaonyesha kuwa amemaliza "Washington International University – USA BA (Inter. Studies &Diplomacy) 2001 - GRADUATE" sasa hapa ndipo panapoibua maswali zaidi, nikatembelea kwenye mtandao "wikipedia", taarifa zilizopo kwenye mtandao huo ni kwamba chuo hicho hakitambuliki kwa ngazi yoyote na kinatoa shahada zake kwa kipindi cha mwaka mmoja na mwanafunzi anatakiwa asome masomo kumi kwa shahada ya kwanza na masomo nane kwa shahada ya uzamili (master degree), na taarifa zinaongeza kwamba chuo hakifuati mtaala wowote, hakuna mitihani wala vitabu vitumikavyo.

From Wikipedia, the free encyclopedia

"Washington International University is an unaccredited institution of higher education founded in 1994 and currently incorporated in the British Virgin Islands. It describes itself as a "university without borders," serving clients from around the world via distance education. The university website states that WIU's graduates have come from 112 countries.

The university has not sought educational accreditation[7] and does not have a campus. As of March 2010, the Oregon Office of Degree Authorization states on its website that WIU is located in the British Virgin Islands and that its degrees are not recognized.[8]

The accelerated degree program allows completion of any degree within one year. For the accelerated program, according to the university's website, "There are no textbooks to read, curriculum to follow or formal exams to take".
Washington International University - Wikipedia, the free encyclopedia.

Sasa kama hali ndo hii inaibua mjadala mzito juu ya taifa letu kwa ujumla, kwa mfano je watu kama Lukuvi unafikiri watakuwa na uchungu wa elimu ndani ya taifa hili kama elimu yao yenyewe ndo hii, naomba tujadili hili?

Na ikumbukwe CV yake inapatikana kwenye website ya bunge http:http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=5.
 
weka CV yako kwanza tuone mtoa taarifa ana nini kabla ya kuzumgumza za wenzio
 
weka CV yako kwanza tuone mtoa taarifa ana nini kabla ya kuzumgumza za wenzio

Itafute kama nami nilivyoitafuta ya Lukuvi, na unatakiwa uelewa lengo langu si kufanya comparison ya elimu yangu na ya Lukuvi, na pia hata ningelikuwa na elimu ndogo kiasi gani haihalalishi viongozi wa nchi hii kuhujumu taaluma!
 
Dr Mwakabanje elimu ya mtu haikuhusu wala haikusaidii. parangana na life ili ubadili hicho unachoona hakienda vizuri na kinakukwaza.
Dr nenda hospitali kabla mambo hajawa magumu maana hizo permanent head demage (PhD)zingine zinawapeleka kubaya na unaweza kuishia milembe.
 
Kwa maneno yako rahisi unamaanisha Lukuvi kama waziri wa nchi hii hanihusu? Na kama ananihusu iweje iwe nongwa kuzungumzia elimu yake inapoonekana inawalakini?
 
Pole sana Dr Mwakabanje unahangaika na mambo madogo. eleza namna udaktari wako unavyoweza kuboresha hicho unachoona kikiendi vizuri kwa manufaa ya Taifa na siyo kumuandama mtu kwa jina
 
Daktari Mwakabanje,hachana na propaganda zisizo na mashiko,we endelea tu na kazi zako za kutoa mimba wanafunzi kabla sheria haijachukua mkondo wake.Ukiona vipi kajisalimishe polisi.
 
Daktari Mwakabanje,hachana na propaganda zisizo na mashiko,we endelea tu na kazi zako za kutoa mimba wanafunzi kabla sheria haijachukua mkondo wake.Ukiona vipi kajisalimishe polisi.

Kwa nini unaita uzi huo ni propaganda? Na kwasababu mi ndo mleta uzi nilitegemea yote yangeweza tokea so sita tumia lugha yoyote mbaya kwa watu kama wewe!
 
bwana bwana msikatize huyu Dk, uenda hataki vihiyo maana majitu kama haya ndiyo yanapindisha ukweli na kushabikia ifisadi wa elimu na wa mali bila kujua madhara yake, madhara ya elimu ni kushindwa hata kugundua vitu muhimu tangu chuo kikuu au vyuo vikuu vianzishe madhara ya kushabikia ufisadi wa mali ni kuleta umaskini mkubwa nchini mwetu.
 
Lukuvi mzee wa kanuni ya 64 ni mwalim wa shule ya msing haina ubishi na dawa yake ni tundu lissu na msemakweli
 
uwa napata tabu sana kuona ushabiki wa kisiasa usio kuwa na mantiki hoja ni kwamba kwa nini lukuvi adanganye kiwango chake cha elimu??? ushaidi ninao huyu jamaa atakusoma gazeti la kiingereza ajui ukitaka nenda pale masaki panaitwa IST KUNA MUUZA MAGAZETI MAARUFU MUULIZE KUWA JAMAA KAWAI NUNUA GAZETI LA KIINGEREZA???HUYU NI MWALIMU TENA WA UPE NA ALIKUWA MWALIMU WA PRIMARY AJAWAI KUSOMA HATA FORM FOUR KOKOTE DUNIANI ATUNA SHIDA LAKINI TWATAKA AWEKE WAZI YEYE NI DARASA LA SABA ,,,,
MAJIRANI ZETU KENYA HII NI KESI LAKINI SISI KWA VILE TWAWEKA UVYAMA MBELE BADALA YA KUONA KWA NINI TUNAKUWA NA MAWAZIRI WASIO NA CV ZA MAANA TWABAKI KULUMBANA USHAURI WA BURE MBONA WATU HAWANA SHIDA NA MAWAZIRI WALIOSOMA NA DETAILS ZAO ZIPO MFANO DK MWAKYEMBE ,POMBE MAGUFULI ETC LAKINI USANII HATUTAKI
weka cv ya mwenyekiti wako dj kwanza
 
Lukuvi mzee wa kanuni ya 64 ni mwalim wa shule ya msing haina ubishi na dawa yake ni tundu lissu na msemakweli

kamanda lema anakuja february hii mjengoni, magamba wote jipangeni, amesema hajasahau yale ya mpindo
 
uwa napata tabu sana kuona ushabiki wa kisiasa usio kuwa na mantiki hoja ni kwamba kwa nini lukuvi adanganye kiwango chake cha elimu??? ushaidi ninao huyu jamaa atakusoma gazeti la kiingereza ajui ukitaka nenda pale masaki panaitwa IST KUNA MUUZA MAGAZETI MAARUFU MUULIZE KUWA JAMAA KAWAI NUNUA GAZETI LA KIINGEREZA???HUYU NI MWALIMU TENA WA UPE NA ALIKUWA MWALIMU WA PRIMARY AJAWAI KUSOMA HATA FORM FOUR KOKOTE DUNIANI ATUNA SHIDA LAKINI TWATAKA AWEKE WAZI YEYE NI DARASA LA SABA ,,,,
MAJIRANI ZETU KENYA HII NI KESI LAKINI SISI KWA VILE TWAWEKA UVYAMA MBELE BADALA YA KUONA KWA NINI TUNAKUWA NA MAWAZIRI WASIO NA CV ZA MAANA TWABAKI KULUMBANA USHAURI WA BURE MBONA WATU HAWANA SHIDA NA MAWAZIRI WALIOSOMA NA DETAILS ZAO ZIPO MFANO DK MWAKYEMBE ,POMBE MAGUFULI ETC LAKINI USANII HATUTAKI

Asante sana Mpogole, unajua mtu anaweza comment kwa kejeli akajua utaudhika kumbe mwenzie utamhurumia tu, nilitegemea watu tujiulize maswali mengi kwa kupitia hili, kwa mfano, nini kazi ya TCU katika hili kwani yenyewe ndiyo oimepewa majukumu ya kusimamia elimu ya juu nchini ila hautasikia wakiongelea tuhuma kama hizi zaidizaidi utasikia sisi tunafuatilia mtu akipeleka malalamiko mahakamani.

2. Kwa nini nchi yetu tu ndo tunahalalisha haya, maana nchi za wenzetu sio tu kughushi taaluma hata plagiarism inakufanya upoteze elimu yako, chukulia mfano ujerumani mwakajuzi kama sijakosea Waziri mmoja alipokonywa degree yake kwa sababu ya plagiarism na akapoteza uwaziri wake on the sport, lakini hapa kwetu tunashabikia.
 
Pole sana Dr Mwakabanje unahangairka na mambo madogo. eleza namna udaktari wako unavyoweza kuboresha hicho unachoona kikiendi vizuri kwa manufaa ya Taifa na siyo kumuandama mtu kwa jina

dr hajamuandama mtu yoyote mkuu,dr anaaangalia cv ya kiongozi mkubwa kwenye serilkali yetu,au wewe mkuu unaona poa tu watu wakidanganya na kupewa vyeo wakati wasomi wa kweli hawana kazi.....2015 tutasafisha hii nchi
 
weka cv ya mwenyekiti wako dj kwanza

chris lukosi siku hizi nakuona kama le mutuz,tofauti ni moja ,mutuz baba yake alikuwa mtu flani tanzania,na wewe ni mwezetu wa kajamba nani,na ccm walikuhaidi tenda london,na habari nilizozipata wanakutosa,nazani ulikuwa uwajui vizuri ccm
 
MKAO WA KULA; Ama kweli unasubiri kula, ukae mkao wa kula hadi utakapofikisha 50 uone joto lake. Ajira siyo uwaziri na ubunge zipo nyingi zinakusubiri amua sasa na anza kufanya kazi acha kulalamika
 
Back
Top Bottom