''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

Mi sitetei chochote ila mtoto akiongea mambo mazito ujue kayaskia kwa wazazi au walezi wake. Lukuvi aliamua kuonesha uzalendo wake na kujaribu kutoa awareness kwa raia wanaodanganywa danganywa tu kwa mgongo wa dini. Na Sheikh yuko sawa nae katoa ya moyoni na ikumbukwe kua asemaye ukweli ndo huonekana hovyo au mbaya. Naomba mtu anieleweshe why watu fulani fulani wanataka Zanzibar iachane na Tanganyika? Zipi ni sababu za msingi hasa?!!! Kesho Mombasa nao wataanza, Malindi Lamu na Malindi. Ni vyema watu waelezwe ukweli afu waamue sasa wanaamua nini.
 
kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku msapot kada huyu wa ccm kwani hana nia nzuri na Taifa hili,aana nia yake ni kuwagawa watu kupitia dini zao na itikadi zao kisiasa,alaaniwe lukuvi maana ni janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom