''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

Zanzibar imeendelea kua maskini kutokana na huu Muungano.Muungano umeharibu ustaarabu wa Wazanzibari.Leo Zanzibar kuna baa na madanguro kama bara.Asante Gharib Bilal Kwa kuuchukia muungano toka moyoni hata walipokuhonga Umakam wa rais.Watanganyik wanaupenda Muungano kuliko Watanganyika ili Ukatoliki uenee huko.

Unafikiri Tanganyika hawajui mambo ya kula tigo yalipotoka!

Hili ni jambo baya zaidi ya baa!

Kukaa kimya usidhani hawajui!
 
Kumbe ndio maana waislam wengi wanawaita hawa jamaa "vibaraka" wa selikali. Nasikia toka enzi za Mwalimu baraza hili linatumikaga.
 
Unafikiri Tanganyika hawajui mambo ya kula tigo yalipotoka!

Hili ni jambo baya zaidi ya baa!

Kukaa kimya usidhani hawajui!

Hizo ni propaganda kuwa visiwani kuna mambo ya ushoga ,hiko kitu hakuna ni maneno tu ambayo yamebuniwa ili kuchafuwa sehemu hizo kwakuwa zina waislamu wengi,ila facts ni kuwa nchi zenye mambo hayo ni za maghrib na huku bara tumeiga kwakuwa ni wapenzi wakuangalia video zao chafu, ambazo wao wanazifanyia promo mpaka makanisani,juzjuz tu hapa wazir wa ujeruman kaja uganda na alikTaa kuongea na kiongozi yeyote wa uganda ila aliongea na kiongoz wa mashoga tu,uislam unapinga mambo ya kwenda nyume na maumbile na atakaefanya hivyo mtume Muhammad saw, anasema atafufuliwa pamoja na watu wa nabii luti (sodoma&gom...)
 
Zanzibar imeendelea kua maskini kutokana na huu Muungano.Muungano umeharibu ustaarabu wa Wazanzibari.Leo Zanzibar kuna baa na madanguro kama bara.Asante Gharib Bilal Kwa kuuchukia muungano toka moyoni hata walipokuhonga Umakam wa rais.Watanganyik wanaupenda Muungano kuliko Watanganyika ili Ukatoliki uenee huko.

Duh, wapi tena umeenda huko?
 
Lukuvi ameongea vizuri!! Tukiwaachia wazenji nchi yao watageuka ma al-qaeda, kwa hiyo ni bora tuwanyongee chini hadi kiama. (Kwa mujibu wa Lukuvi)
 
Nasikitikia nchi yangu Tz imejaa masufuria na mabakuli tu, hamna viongozi.
 
Ningeshangaa kama angesema vinginevyo! Hiyo ni kauli tegemewa kabisa kutoka kwa viongozi wa BAKWATA tawi tiifu la LUMUMBA. Na hizo ni salamu tu kuelekea 2015 subirini kusikia mengi zaidi.

Where is my HERO Sheikh PONDA ISSA PONDA???????
 
Katika watu ambao huwa nawaheshimu na ku-admire ni Sheik Salum. Jana sikuamini macho na masikio yangu kumyona Sheik Salum akisema aliyosema kuhusu Lukuvi. Kitendo cha Lukuvi hakikubaliki hata kidogo. Ni wazi Sheik ameombwa aingilie mgogoro huu ili kuokoa jahazi. Kwa maneno mengine amekubali kutumika kama kibaraka. Pili kwa kumuunga mkono Lukuvi Sheil Salum amekuza mgogoro badala ya kuupoza. Nimebaki najiuliza Sheik Salum alikunywa nini jana?
 
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?

hana akili kabisa.
 
Kama alidhani kwa kauli ile toka Bakwata ndio ameupooza mgogoro ule basi kajidanganya. Huo mgogoro utakuwa mkubwa zaidi na utapelekea Bakwata kuzidi kutengwa huko Zanzibar

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Zanzibar imeendelea kua maskini kutokana na huu Muungano.Muungano umeharibu ustaarabu wa Wazanzibari.Leo Zanzibar kuna baa na madanguro kama bara.Asante Gharib Bilal Kwa kuuchukia muungano toka moyoni hata walipokuhonga Umakam wa rais.Watanganyik wanaupenda Muungano kuliko Watanganyika ili Ukatoliki uenee huko.

Danguro zipo hata dubai kwa wale waliokuletea uislam. Tembea uone acha kujifungia chumbani
 
Back
Top Bottom