''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

''Lukuvi anapaswa kupongezwa''

People

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
364
Reaction score
34
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?
 
Fweza ni kama shetani ukiwa nayo huwezi tukuka. Ni prf J huyo sio mimi.
 
Anastahili pongezi za dhati kabisa.
Safi sana Shekh.
 
Fweza ni kama shetani ukiwa nayo huwezi tukuka. Ni prf J huyo sio mimi.

Mwenzie Sheikh Jongo aliamua kulia hadharani- kuonesha jinsi fweza imemkolea!
 
Sheikh ameongea kwa busara sana. Waislamu wasitumiwe na hawa wanasiasa UCHWARA.
 
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?

ulimuelewa vizur au unaandika utumbo 2 hapa.!? amesema lukuvi anastahili kupongezwa kwa kuongea ukwl ambao viongoz weng wanaujua lakn walkuwa wanashndwa kuuongea, ukwl ambao ni hofu iliyopo miongon mwa serikal lakin hata waislam wnyw walkuwa hawaujui achilia mbali wazanzibar
sikilza sawasawa, andika sawasawa usipotoshe kauli yake
 
lukuvi ametoa maneno machafu kanisani wala hafai kuwa kiongozi wa watu labda mbuzi. Huyu sheh nae majanga
 
Mwenzie Sheikh Jongo aliamua kulia hadharani- kuonesha jinsi fweza imemkolea!

Shekh Jongo ni shekh wa BAKWATA na Shekh wa Mkoa wa Dar es Salaam ni wa bakwata hiyo hiyo, bakwata tokea ianzishwe haijawai kwenda tofauti na CCM. Naanza kuelewa sababu ya waislamu walio wengi wanaposema kua Bakwata haipo kwa ajilia ya maslahi ya waislamu bali maslahi ya walioianzisha.
 
Zanzibar imeendelea kua maskini kutokana na huu Muungano.Muungano umeharibu ustaarabu wa Wazanzibari.Leo Zanzibar kuna baa na madanguro kama bara.Asante Gharib Bilal Kwa kuuchukia muungano toka moyoni hata walipokuhonga Umakam wa rais.Watanganyik wanaupenda Muungano kuliko Watanganyika ili Ukatoliki uenee huko.
 
Huyu sheikh wa Bakwata AMEVURUGWA na pesa za LUKUVI. ivi anaakili gan kumtetea muhuni kwa matamshi ambayo yanaleta chuki baina ya din tena unaongelea kanisan then uyu bakwata anakuja na ----- wake..jaman masheikh wa bakwata Hamtapata hasara km amkikaa kimya ila mtapata hasara km mtaongea utumbo uku hamna sina hizo
 
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?

Huyu Sheikh namjua hana usafi wa kusema hivyo, na eti anampango wa kuwa Mufti sasa anasema kuwafurahisha wakubwa, atakufa siku moja na atasahaulika kama nitakavyokufa
 
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?

Kama ukitumia akili utajua upande wa pili wa sentensi zake. Lukuvi anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Shehe mkuu wa Dar es salaam amesema kuwa mheshimiwa lukuvi(miye simheshimu) anapaswa kupongezwa kwa kauli yake aliyoitoa kanisani mwezi uliopita,kuwa CUF inataka kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu...huyu shehe ana akili timamu kweli?

Hivi ITIKAFU ya siku hizi haifanyi kazi??? Maana naona huyu lukuvi anacheleweshwa sana.
 
Back
Top Bottom