Lukuvi amfagilia Mnyika


Mkuu usiwe na wasiwasi kwani he is very much aware of this hidden bad lob....
 
Pombe za jion hizi zinamadhara sana
 
Umesema ukweli Mkuu; 'adui' wako akikusifia Chunga sana . Anakuvuta akulainishe Na Mwishowe ni kukumaliza.
Ila Mnyika ni smart, namkubali Na mtu anayepigania maslahi ya wananchi Na si maslahi binafsi
 
Ondoa shaka yaani Mnyika ni zaidi ya umjuavyo.
 
mchinga ni miongoni mwa wabunge makini hata tasisi zinazopima uwezo wa wabunge wanalijua hilo.......hongera myika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…