Lukuvi akipata kikombe kwa babu loliondo picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lukuvi akipata kikombe kwa babu loliondo picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by kilimasera, Mar 23, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mheshimiwa lukuvi akigonga kikombe cha uzima kwa babu loliondo

  198092_191516467550802_100000773500533_417991_4735646_n.jpg
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Oooyoyoo!
  Kikombe hoyee!
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kakunja uso, dalili ya imani haba

  pembeni ndio mkewe au? hii ya lini?
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  last week hiyo
   
 5. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  Tuna wagonjwa wengi serikalini ndio sababu hawawezi kutatua matatizo ya wananchi .... ... pengine safari za India zitapungua. Sasa angalia hiyo nyumba ndiyo nyumba za watanzania hizo halafu wanawaajiri ati ma-exparts ambao wanalipwa na pesa za walipa kodi kukaa mahotelini ... ... ... hiki kiinchi kinanuka rushwa.​
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaa wizi mtupuuuuuuuuuu
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Huyo pembeni ni Rosemary Nyerere.MB..mtoto wa JKN
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  vikombe vimechakaaa dawa ya moto na kikombe cha bati hapo sasa lazima uungue
   
 9. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Endeleeni kutuwekea picha za wakuu. Picha ya Pinda sijaiona. Kesho yupo hapa Moshi. Labda atakuwa niani kuelekea Loliondo
   
 10. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anaomba ajaziwe maana alikuwa anaona hiyo iliyowekwa haimtoshi!! Loo
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa mwendo huu, Sheikh Yahya ataendelea kutoa ulinzi usioonekana kwa ******!
   
 12. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hivi mtu kama Lukuvi naye analipa 500 tu? (hasa hasa ukiangalia hali ya kibanda cha Babu)
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  babu hataki zaidi ya hapo
   
 14. z

  zamlock JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wataenda wengi sana hata obama na bush watakuja na akina clinton lazima waje huu ni muujiza ambao mungu ameleta kwenye taifa dogo hili lakini ni jambo la kujihoji kila mmoja je sumu imegeuka kuwa tiba...acheni aitwe yesu acheni aitwe mungu afananishwi kitu chochote kile
   
 15. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Halafu unatarajia viongozi hopeless kama hawa walete maendeleo!!
  Hiki ni kichefuchefu!
   
 16. b

  batadume Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 17. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 18. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  safahamu radha ya dawa hii ni kali ama tamu
   
 19. i

  iwensato Member

  #19
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana alitaka ajazie mpaka juu,tamaaaaaaaaaaa
   
Loading...