LUKU KULIKONI?

LUKU KULIKONI?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
23,255
Reaction score
28,414
Ninawakati mgumu ninapohitaji kununua LUKU, nilizoea kwenda kwa wakala natoa hela napata units zangu bila shida, Jumanne nilienda kwa wakala na pesa kama kawaida yangu cha ajabu nilitakiwa nimpe mshiko muuzaji ili aniuzie LUKU ikabidi nimpe sh.1,500/= ambayo haina risiti! Nikauziwa units kama mahitaji yangu yalivyokuwa. Najiuliza serikali inapata faida gani kwenye utaratibu huu wakati inasema uza toa risiti!
 
Wewe bado unanunua luku kwa wakala?? Tumia simu yako. Jenga tabia ya kubakisha vihela Tigo/M pesa uwe unanunulia LUKU.
 
Nilishasahau zoezi la kwenda nunua Luku,natumiaga Tigo pesa na M-Pesa
 
Wakala wa nini?? Nunua kwa kutumia simu yako mpesa , tigopesa nk. Dk. Sifuri umepata umeme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom