Lukamba amlilia Polepole, ataka aachiwe huru

Ishu hapa ni Lukamba na Polepole, wewe unaleta habari za CHADEMA.

Una ubongo wa mende mkuu.
Lukamba nani wewe.... mbona unajishusha sana, upo wapi wewe sokoni. Mbona unakuwa mjinga sana. Polepole kafanya nini? wewe wazi ni mwana Chadema ndio maana nimekwambia shida yenu mnarukaruka tu hamjulikani mnataka nini. Please stop kuleta jina la Lukamba si level ya kujadiliana na mimi. Hapo tu nimeshajuwa wewe mtu wa aina gani.
 
Umeona sasa ulivyo na ubongo wa mende eti mimi ni chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe kuna muda unakuwa na akili.

Hongera dogo.
 
Yeye na Wewe wote ni wanafiki keyboard warrior na huyo kafanya hivyo ni kwasababu anataka kuachia wimbo ili uende mjini kwa haraka apate maslahi yake binafsi

Ukiwa mwanaharakati lazima uishi kimafia kama ZAKARIA ,wakija bila GUARD unawamwagia NJUGU bila idadi.

Mimi siyo mwanaharakati ,natoa tu ushauri pale napoona naweza kutoa mawazo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…