Luis Suarez leo amesain miaka minne kuendelea kuwepo LFC

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,695
2,000
Hii imekuwa habari njema sana kwetu sisi mashabiki wa Liverpool

Source


BREAKING NEWS: Suarez signs new Liverpool deal - Goal.com
 
Dec 10, 2013
51
0
Dah,great news to me, hili jamaa ni nouma sana na anajua sana mpira ase, brendan anajua akifanyacho pale anfild na ndyo maana wamempa mkataba mnono,na hata ikitokea timu inayomtaka kwa sasa si chini ya paund 60m.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom