godsonswai
Senior Member
- Feb 1, 2013
- 129
- 54
Yeye mwenyewe amesema anasubiri wakala wake ampe taarifa na akakataa taarifa ya yeye kujiunga na hao wajerumani,ni kama aliyesema Suarez anabaki Liverpool na yy kusema hakutoa taarifa hiyo,nadhani ni vyema kusubiri taarifa za klabu husika zinazoeleza kumuuza au kumnunua mchezaji kuliko hayo magazeti na vyombo vya habari vya ulaya maana na wao hawana tofauti na magazeti yetu ya udaku ya hapa Bongo !Tim gani tena mkuu?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums