Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Hivi kazi ya Rais ni nini mzee mwenzangu..???
Kama Rais anashindwa kuchagua watu wanaochapa kazi basi ni wazi kabisa kwamba na yeye ameshindwa moja ya kazi zake.., kwahiyo ni kweli afukuze hao wazee na mwisho wa siku ajifukuze mwenyewe kwa kushindwa kazi
wewe huoni kuwa hawa watu wanamuaribia kazi ?
Kweli kabisa ila ni nani aliyewachagua na nani anaweza kuwafukuza kazi..?wewe huoni kuwa hawa watu wanamuaribia kazi ?
Wakuu...
Kama watoto wote ndani ya nyumba wanafanya wanalotaka na hawana maadili mema, wa kumwangalia ni baba mwenye nyumba..., Hivyo basi kama nchi inakwenda kombo wa kumlaumu ni Kiongozi wa nchi, kwamba ndio hafai
wewe una Rais mwenzetu? hiyo ni pipos powa ndo imefanya wabadiri uamuzi
kwa hilli luhanjo ametukatisha tamaa, inauma inauma inauma saana kwamba
hakuna mawasiliano kati ya rais wetu mpendwa na luhanjo, haiwezekani jana mtu
anaingia ofisini (jairo) na leo anatolewa. Hii inaonesha kuwa serikali yetu haifanyi kazi
rais wetu tunakuamini hawa wasadizi wako wanakushushia hadhi ona sasa watanzania
wanaanza kukudharau, kama utachukua uamuzi wa busara na makini fukuza hawa wazee
ofisini kwako ikiwemo ngereja na ludovic
je luhanjo atatoa press release leo kutengua maamuzi yake?
Kusema kweli kwa hili mmetuvunja moyo
Nimekugongea kale ka kitu cha " senkyu" maana siku hizi hakipo
Mkuu ni nani aliowachagua hao watendaji wasiofaa na ni nani anaweza kuwafukuza...Kiongozi wa nchi rais wetu anafaaa saana ila watendaji wake ndo wanamualibia
sasa angalia Luhanjo Miscommunication anakuja kuaribu kwenye Public
huyo da gama mwitu ni rais wako wewe na shangazi yako na mjomba yako rajab kiravu...
Mkuu ni nani aliowachagua hao watendaji wasiofaa na ni nani anaweza kuwafukuza...
Au kufaa kwa kiongozi kunapimwa vipi