Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 336
- 1,955
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.