GE2025 Luhaga Mpina akiwa Zanzibar: Mimi ni kijana wenu, nimekulia pale Kizimkazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina alipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, akitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliompitisha kuwania nafasi hizo.

View attachment 3436642
Hivi huwa ni akili ya kawaida au hawa wagombea kuna fungu wanapewa?
 
Hebu nielimisheni hivi kila chama huwa kinasimamisha mgombea urais Bara za visiwani kama wafanyavyo ccm?
 
Kwahiyo kule Zanzibar Act wamemsimamisha nani? Na je chadema uchaguzi wa 2020 Zanzibar walimsimamisha nani?

Sorry maswali ni mengi ila nahitaji kuelewa tu maana siasa za Zenji huwa sizielewi
 
Kwasasa bado sijajua ila huwa wanaweka wagombea kwa hizo nafasi...kama unamkumbu Mzee Haji Duni alisimama kwa CHADEMA
 
Sasa kwanini Salum mwalimu asigombee kwa upande wa Zanzibar hadi aje agombee bara ngoja tuone chauma nao Zenji watamsimamisha nani
 
Back
Top Bottom