heheheNaona unaota in HighDefinition (HD)
Keep dreaming dude...
Naona unaota in HighDefinition (HD)
Keep dreaming dude...
Yeye ninja... Hawezekani?Naona unaota in HighDefinition (HD)
Keep dreaming dude...
tunasubiri atatumbuliwa na huyuNaona unaota in HighDefinition (HD)
Keep dreaming dude...
Title yako haiendani na ugoro uliouandika ndani.Hivi huyu waziri katika utendaji kazi anajua Magufuli anafuatilia???
huyu waziri analeta mambo ya mizaha,Msigwa aliposema huyu ni mtu anapenda mizaha na utani hakukosea,tumejionea wenyewe vituko anavyofanya
tuorodheshe mizaha na utani wa huyu waziri
mbwa aletwe ndani ya masaa kumi na mbili,,,jana tumejionea kale kajibwa sijui kametolewa wapi
Lugumi aje ofisini kwangu???kufanya nini mbona kuna vyombo vya sheria????
anayesambaza picha za yule mkuu wa wilaya akamatwe???mbona yeye mwenye picha hakamatwi na alisambaza mwenyewe???
kutumbuliwa hakuepukiki hii wizara inaitaji watu smart na waliotulia kama Lukuvi
Hehehe mbwa yuko shule
Msemaji wa polisi alisema sio kila kitu raia wa kawaida wakijue,mambo mengine yapo kimkakati(kuhusu mbwa aliyekuwa akipiga kitabu)
Kwi! Kwi! Kwi!
Umesema vema ndgKati ya Wizara ngumu basi ni ya Lugola
Unaweza ukapewa uiendeshe halafu usijue cha kufanya, ndio maana wahusika wanaishia kuokoteza okoteza mambo na matamko yasiyoeleweka ili waonekane wanafanya kazi.
Inakuwa legelege kwakuwa Taasisi zote zinazozisaidia Wizara hii ya mambo ya ndani, zinaendeshwa kisiasa zaidi kuliko kitaaluma,,,Kati ya Wizara ngumu basi ni ya Lugola
Unaweza ukapewa uiendeshe halafu usijue cha kufanya, ndio maana wahusika wanaishia kuokoteza okoteza mambo na matamko yasiyoeleweka ili waonekane wanafanya kazi.