Lugha ya picha

Lugha ya picha

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Sema neno lolote kwa picha hii.
1476372436783.jpg
 
Sema neno lolote kwa picha hii.
Waliokuwa wafanya kazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, wengi wao sasa ni marehemu ingawa wapo wachache bado wako hai. Jumuiya ilivunjika mwaka 1977 na baada ya nchi tatu (Kenya, Tanzania na Uganda) kugawana mali mwaka 1984, mwaka uliofuata 1985, serikali ya Tanzania ilikabidhiwa mamilioni ya pesa za pensheni za waliokuwa wastaafu wa EAC.

Hela hizo hazikuwa za serikali bali za waliokuwa wastaafu wa Jumuiya na serikali ilizipokea tu kwa ahadi ya kuwafikishia wastaafu hao. Cha ajabu ni kwamba pesa hizo badala ya kufikishwa kwa walengwa, zililiwa na serikali ya CCM ikiongozwa na Rais Ali Hasan Mwinyi. Tukio hilo lilipelekea kilio kikuu kwa wastaafu waliokuwa wakisubiri mafao yao toka mwaka 1977.

Sasa ni miaka karibu arobaini toka jumuiya ivunjike na waliokuwa wastaafu wengi kama inavyoonekana kwenye hiyo cartoon wanashangaa huko walipo wakiona madai ya waliokuwa wafanya kazi wa Benki Kuu waliostaafishwa mwaka 1993 yakishughulikiwa. Madai ya wastaafu wa EAC yamedumu kwa muda unaolingana na umri wa chama tawala, CCM! Kweli hujafa hujaumbika.
 
Kama tetemeko vile
 
Aisee
 
kwa hiyo unaeza kusema hii nchi ina laana?maana hakuna jambo likafanywa likafanikiwa...
 
kwa hiyo unaweza kusema hii nchi ina laana?maana hakuna jambo likafanywa likafanikiwa...
Kufanikiwa? La hasha, si kwa viongozi tulio nao...laana itatutafuna hadi tuzinduke na kutambua wajibu wetu kama wananchi. Tunachagua hovyo halafu tukianza kutendewa hovyo tunaanza kulalamika hovyo. Hali hii inatuweka katika mazingira ya hovyo ambayo yanaweza kuvumiliwa tu na watu hovyo waliotamalaki nchini.
 
Waliokuwa wafanya kazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, wengi wao sasa ni marehemu ingawa wapo wachache bado wako hai. Jumuiya ilivunjika mwaka 1977 na baada ya nchi tatu (Kenya, Tanzania na Uganda) kugawana mali mwaka 1984, mwaka uliofuata 1985, serikali ya Tanzania ilikabidhiwa mamilioni ya pesa za pensheni za waliokuwa wastaafu wa EAC.

Hela hizo hazikuwa za serikali bali za waliokuwa wastaafu wa Jumuiya na serikali ilizipokea tu kwa ahadi ya kuwafikishia wastaafu hao. Cha ajabu ni kwamba pesa hizo badala ya kufikishwa kwa walengwa, zililiwa na serikali ya CCM ikiongozwa na Rais Ali Hasan Mwinyi. Tukio hilo lilipelekea kilio kikuu kwa wastaafu waliokuwa wakisubiri mafao yao toka mwaka 1977.

Sasa ni miaka karibu arobaini toka jumuiya ivunjike na waliokuwa wastaafu wengi kama inavyoonekana kwenye hiyo cartoon wanashangaa huko walipo wakiona madai ya waliokuwa wafanya kazi wa Benki Kuu waliostaafishwa mwaka 1993 yakishughulikiwa. Madai ya wastaafu wa EAC yamedumu kwa muda unaolingana na umri wa chama tawala, CCM! Kweli hujafa hujaumbika.
Pamoja na hayo ilipovunjwa TRC katika ubinafsishaji wa shirika hilo, wenzao waliostaafishwa walilipwa mafao yao yote kwa mkupuo! Lakini wao pamoja na kuomba nao waingizwe kwenye mpango huo na serikali ikakubaii na kutenga fungu lao; walipaji wakasema fedha za malipo yao kwa mkupuo takriban 50 bilioni zilitumika kununulia mafuta ya kuendeshea treni! Baadae tena, wale waliolipwa kwa mkupuo walirudishwa katika pensheni ya kila miezi 3, kwa maana hiyo wamelipwa mara mbili ya stahiki zao kisheria! Kuna nini kinachosababisha hawa watu kutengwa kama vile si raia wa Tz?
 
ningekuwa na uwezo ningewalipa pesa zao angalau kupunguza laana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom