Dah! Kumbe nawewe umeliona hili? Si wachezaji si makocha akipewa mic lazima waanze hivyo najiulizaga kama kweli ni watu wa imani kwanini wasitamke kimoyomoyo? Ni kama kile kibwagizo cha "mpira una matokeo matatu" kinavyorudiwa rudiwa na kila aliyepoteza mechi