Lugha hizi lol

unamuita mtoto wa kike mwanangu badala ya binti yangu huna tofauti na huyu

usiku mwema
 
mtoto anasoma day care huyo. duuuh
 
Ha ha ha lugha ya malikia ngumu jamani

happy birthday my son you are so beautifful my son.....
 
English ya kujifunzia kwenye subtittles za bongo muvi unafanya mchezo?
 
Hebu disclose na jina pamoja na namba yake ya simu tumpigie na kumrekebisha siku ingin3 ajue. Kama mzi-maajabu kizungu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…