Actually huwa inashauriwa wana ndoa wapeane space kwa mda hivi
inasaidia sana....
teh teh mnapeana space kila baada ya muda gani The Boss???five years,two years ma one month?haujisikii unwanted pale mwenzio anavyokuambia 'mpeane space'?hio space kila mtu anakuwa na uhuru wa kufanya atakalo? au bado mnakuwa commited to each other?mmmnh kwangu ngumu ndoa ikinishinda nasepa tu lol
Labda kweli ana roho mbaya...na kumwambia sio tatizo maana akijua anavyoonekana kwa mwenzake anaweza kujirekebisha...tatizo ni walivyofikishiana ujumbe mpaka mwanainterijensia wa JF akauleta jamvini.
space wanasema on week au two
yaani mmoja anakwenda zake mbali hivi...msionane for one week au two
Belive me The Boss hii inasaidia sana kuimaisha ndoa but wanaume wetu wengi ni wagumu!! Imagine mtu ambaye anatamani akuachishe kazi simply because anajisikia vibaya/wivu ndo atakuruhusu kwenda ku'bestow your virginity?'
Haahahah....mpenzi hapo kwenye sauti nyoror ongeza na macho ya kurembua bila kusahau maneno matamu.Hawa watu ukiwajualia unaweza ukamaliza ugomvi mkubwa ndani ya dakika kadhaa...inabidi kuwe na mafunzo ya namna gani wanawake tunaweza kutumia uanawake wetu kuzima moto badala ya kuumwagia mafuta ya taa zaidi kwa ubabe.HApo sasa Lizzy yaani ni mtihani haswa.......unajua mimi siamini eti wanandoa wanaweza wakakutana wote hawajui what it takes kufikisha ujumbe mbaya kwa mwenzi wako basi tu mmoja wapo huamua kuwa amechoka !! Najiuliza huyo kakake mwanaintelijensia ingemcost nini kumweleza kwa ustaarabu akiwa ametulia ....mpenzi/mydia/mama flani unajua unavyofanya si vizuri, tafsiri yake inaweza kuchukuliwa kuwa una roho mbaya, kitu ambacho si kizuri...bla bla blah za kistaarabu.......lakini na Mama flani naye ingemcost nini kama angetafuta mbinu ya kumshusha mwenzi wake? jamani wanawake ndo maana tukapewa sauti nyororo zaidi ya mwanaume na machozi ya kulia!! Hata kama unajiliza kuomba yaishie chumbani, jilize mwee!! Ubabe haufai sana sana hata kama una haki utadharauliwa!
hahahah Lizzy acha tu mwanakwetu but sidhani kama wanaofanya makosa hapa hawajui !! Hapana nafikiri inafikaga wakati mvumilivu naye akachoka!! Nakumbuka siku mie nilipofunguka na kuongea kwa jazba huku nikigonga dashboard na kama vile haitoshi nikafungua mlango gari ikiwa kwenye mwendokasi kumlazimisha anishushe la sivyo naruka!!! Yeye mwenyewe aliniuliza kama nimeonja maana hakuwahiona wala hakutegemea!Haahahah....mpenzi hapo kwenye sauti nyoror ongeza na macho ya kurembua bila kusahau maneno matamu.Hawa watu ukiwajualia unaweza ukamaliza ugomvi mkubwa ndani ya dakika kadhaa...inabidi kuwe na mafunzo ya namna gani wanawake tunaweza kutumia uanawake wetu kuzima moto badala ya kuumwagia mafuta ya taa zaidi kwa ubabe.