Lugalo Secondary School- Iringa

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,951
Tuliopita Lugalo Sec School Iringa Tujikumbushe hapa
Hapa ndipo tulipokua tunaimba ule wimbo wa shule na mwishoni tunamalizia "Hakuna haki bila wajibu". Shule hii ilikua na Wing A na B. Wanafunzi wa Wing A walikua kwenye mchepuo wa Kilimo na wale wa Wing B walikua kwenye mchepuo wa Biashara.

Kabila unakumbuka ni siku gani tulikuwa tuna pandisha bendera ya Taifa na kuimba wimbo wa shule. siku ambayo wanafunzi wote wa wng B and wng A wanakuja Asubuhi? Hapo ndipo nilipo wajua maskauti baada ya hapo sijawaona tena kwani skauti ni jeshi gani na limefia wapi? maana baada ya kutoka Lugalo sijasikia tena hilo neno skauti. Unamkumbuka Mwalimu Materu kule Bustanini? It was very Intersting.
 
Baba Junjo unamkumbuka Materu alikua anatusomea Listi ya wachezaji wa Simba au Yanga Assemble eti ndo watu ambao hawakufika shambani kwa siku hiyo. Bendera tulikua tunapandisha kila jumatatu Asubuhi tunapokua zamu ya asubuhi
 
Materu(RIP)Lulandala, Mangula, Matoi, Msasimela, Mlangira duu walimu wtuehao, Chigo bado yupo lugaloooooo
 
Namkumbuka sana marehemu Mwl Lupyuto alivyokuwa akikandia watu wanaosoma masomo saba...Hivi jamani nani mwenye habari za walimu wangu...moshiro,kisonga,nade,mtavangu,issa,muumba,lutumo na loningo?
 
Wengi nasikia wamekula vyeo wamekua ma headmasters kwenye shule za kata
 
Materu(RIP)Lulandala, Mangula, Matoi, Msasimela, Mlangira duu walimu wtuehao, Chigo bado yupo lugaloooooo

Jamani Msasimela amefariki kwa ajali pale Kibwabwa gari lake liligongana uso kwa uso na Basi la Hekima. siku hiyo ndo nilikua naenda Iringa kwa ajili ya sikukuu ya X-mass. nilibahatika kuhudhuria hata mazishi yake. R.I.P mwalimu Msasimela
 
Kabila unakumbuka ni siku gani tulikuwa tuna pandisha bendera ya Taifa na kuimba wimbo wa shule. siku ambayo wanafunzi wote wa wng B and wng A wanakuja Asubuhi? Hapo ndipo nilipo wajua maskauti baada ya hapo sijawaona tena kwani skauti ni jeshi gani na limefia wapi? maana baada ya kutoka Lugalo sijasikia tena hilo neno skauti. Unamkumbuka Mwalimu Materu kule Bustanini? It was very Intersting.
amerest in peace unanikumbusha machungu
 
Namkumbuka sana marehemu Mwl Lupyuto alivyokuwa akikandia watu wanaosoma masomo saba...Hivi jamani nani mwenye habari za walimu wangu...moshiro,kisonga,nade,mtavangu,issa,muumba,lutumo na loningo?
huyu kwa mara ya mwisho alihamia ITANDULA secondary alikuwa ananifurahisha sana. haa haaaaaaaaaaaa
 
Kabila unakumbuka ni siku gani tulikuwa tuna pandisha bendera ya Taifa na kuimba wimbo wa shule. siku ambayo wanafunzi wote wa wng B and wng A wanakuja Asubuhi? Hapo ndipo nilipo wajua maskauti baada ya hapo sijawaona tena kwani skauti ni jeshi gani na limefia wapi? maana baada ya kutoka Lugalo sijasikia tena hilo neno skauti. Unamkumbuka Mwalimu Materu kule Bustanini? It was very Intersting.
na je unakumbuka ni rangi gani tuliyopenda kuivaa pindi wing A&B tunapokutana?
 
Tulikuwa tuna vaa Suruali na sketi za kijani wing B na au Damu ya mzee wing B. Unajua nilikuwa head Prefect pale! nilikuwa najidai pale katikati ya minara miwili ya Bendera kama vile siwezi kuja kufa hivi! Shit!!!
 
hiyo picha ya mwaka gani?

Hii picha ni ya 2000's lakini mie nimetoka pale 90s.
Mnamkumbuka Deo Kibassa alikua anakariri mistari ya akina 2Pac then akija kwenye debate anamwaga slang ya kimarekani hapo hakuna mtu anaemwelewa kabisa
 
TANGAZO,TANGAZO nyie wote mliomaliza na kufundisha Lugalo tumeanzisha group ambayo ina member 135 mpaka sasa kwenye face book ,mujoin tafadhali
 
Back
Top Bottom