wakuu, ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa cdadema. shida ninayoipata ni pale wafuasi wa cdm na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?

Ukitaka kujua kama ni pumpa ama la angalia viwers na walio-post, Kwa sababu ya umburula pia imehamishwa jukwaa...mkuu ni hoja gani wewe unayoitaka? au ndio wale wale mnawashwa mnapoona thread hata kama haupo interested unalazimisha ku-post
Jinsi siku zinavyozidi kwenda na matukio kuongezeka ndio nukta zinazidi kuunganika. Sasa hivi watu wengi waliokuwa njia panda kuhusu video na issue nzima ya Bwana Lwakatare wameanza kuweka wasiwasi kuhusu uhalisia wa issue nzima. Kwa hali ya kawaida mpaka sasa hivi ilitegemewa image ya CDM iwe imeharibika vibaya lakini hali ni tofauti. Nawasihi CCM kuwa hii strategy itazidi kuwabomoa, na itakuja kulipuka zaidi baadae wakati makundi hasimu (ndani ya chama) ambayo hayajshirikishwa kwenye mkakati huu yatakapokuja kuanza kulitupia kundi lililohusika lawama.
Ziangalie hizo picha kwa umakini, Lwakatare anamaanisha, ila huyo jamaa (Ludovick) straight forward kutoka usoni kwake inaonesha anaigiza, halafu salamu ya vidole viwili haitolewi kwa mkono wa kushoto pekee, mara nyingi mkono wa kulia au yote miwili!
Wakuu,
Ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole viwili alama ambayo inatumika kama utambulisho kwa wafuasi na wanachama wa CHADEMA.
shida ninayoipata ni pale wafuasi wa CHADEMA na of course viongozi kumshutumu kuwa ametumika kuandaa ile video, sasa kwa yeye kusaliimiana na wafuasi kwa kutumia hiyo ishara huku akituhumiwa kuwa moja ya walioshiriki kukihujumu chama sasa ni kwamba ANAJIPENDEKEZA au AMEWASALITI hao waliomtumia?
Ludovick ameitumikia chadema kwa miaka mingi sana.
Anaipenda kwa moyo wake wote.
Ndio maana anaonyesha ishara ya chadema...