D DR. PHONE JF-Expert Member Joined Nov 12, 2012 Posts 504 Reaction score 91 Jul 15, 2013 #1 Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.
Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,715 Reaction score 59,251 Jul 15, 2013 #2 Nani kamdhamini yule mdharimu?. mia
William Mshumbusi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,792 Reaction score 2,421 Jul 15, 2013 #3 Muhutasari finyu nan kamdhamini? Masharti ya dhamana? Yuko wapi na anaongea nini kuhusiana na kesi yake
Muhutasari finyu nan kamdhamini? Masharti ya dhamana? Yuko wapi na anaongea nini kuhusiana na kesi yake
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Jul 15, 2013 #4 Nan kamdhamini?
Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Jul 15, 2013 #5 William Mshumbusi said: Muhutasari finyu nan kamdhamini? Masharti ya dhamana? Yuko wapi na anaongea nini kuhusiana na kesi yake Click to expand... Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?
William Mshumbusi said: Muhutasari finyu nan kamdhamini? Masharti ya dhamana? Yuko wapi na anaongea nini kuhusiana na kesi yake Click to expand... Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?
Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Jul 15, 2013 #6 kamtu33 said: Nan kamdhamini? Click to expand... Inakuhusu nini?
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,558 Reaction score 7,168 Jul 15, 2013 #7 DR. PHONE said: Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo. Click to expand... Mnaihusisha Chadema na makosa yaliofanywa na ccm ili iwasaidie nini?.
DR. PHONE said: Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo. Click to expand... Mnaihusisha Chadema na makosa yaliofanywa na ccm ili iwasaidie nini?.
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,558 Reaction score 7,168 Jul 15, 2013 #8 Mingoi said: Inakuhusu nini? Click to expand... Sasa hii habari mmeileta ya nini kama hamtaki kuulizwa?,habari yenyewe ipo nusunusu.
Mingoi said: Inakuhusu nini? Click to expand... Sasa hii habari mmeileta ya nini kama hamtaki kuulizwa?,habari yenyewe ipo nusunusu.
Feedback JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 7,988 Reaction score 4,514 Jul 15, 2013 #9 figganigga said: Nani kamdhamini yule mdharimu?. mia Click to expand... kamtu33 said: Nan kamdhamini? Click to expand... Lazima atakuwa Savimbi kwa kupitia kwa mtu wake mwingine.
figganigga said: Nani kamdhamini yule mdharimu?. mia Click to expand... kamtu33 said: Nan kamdhamini? Click to expand... Lazima atakuwa Savimbi kwa kupitia kwa mtu wake mwingine.
andrewk JF-Expert Member Joined Apr 13, 2010 Posts 3,102 Reaction score 491 Jul 15, 2013 #10 Tunataka jua kama ni Mwigulu nchema au nape? Leop ndio mnajua kuwa kuna ubinadamu? Mingoi said: Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu? Click to expand...
Tunataka jua kama ni Mwigulu nchema au nape? Leop ndio mnajua kuwa kuna ubinadamu? Mingoi said: Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu? Click to expand...
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 874 Jul 15, 2013 #11 Afadhali kelele za jf ziliwafikia huko na kumtoa shame mabavicha
Feedback JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 7,988 Reaction score 4,514 Jul 15, 2013 #12 Mingoi said: Inakuhusu nini? Click to expand... Ni kweli Chadema haiwahusu tunajua huyo ni mtu wenu.
Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Jul 15, 2013 #13 andrewk said: Tunataka jua kama ni Mwigulu nchema au nape? Leop ndio mnajua kuwa kuna ubinadamu? Click to expand... Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji
andrewk said: Tunataka jua kama ni Mwigulu nchema au nape? Leop ndio mnajua kuwa kuna ubinadamu? Click to expand... Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,146 Reaction score 2,553 Jul 15, 2013 #14 Mingoi said: Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu? Click to expand... Mbona unajibu ugoro? Kama hamtaki kuulizwa kwanini mmeileta hii thread jamvini?
Mingoi said: Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu? Click to expand... Mbona unajibu ugoro? Kama hamtaki kuulizwa kwanini mmeileta hii thread jamvini?
KOMBAJR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 5,827 Reaction score 1,276 Jul 15, 2013 #15 Hivi kumbe kesi yake cyo ya ugaidi tena? mali kwa mali!
Mingoi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 11,715 Reaction score 6,124 Jul 15, 2013 #16 Feedback said: Ni kweli Chadema haiwahusu tunajua huyo ni mtu wenu. Click to expand... Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipia
Feedback said: Ni kweli Chadema haiwahusu tunajua huyo ni mtu wenu. Click to expand... Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipia
Habibu B. Anga JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 6,557 Reaction score 25,749 Jul 15, 2013 #17 Mingoi said: Inakuhusu nini? Click to expand... kama haituhusu mmeileta hapa ili iweje???
K kilombero yetu JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,004 Reaction score 117 Jul 15, 2013 #18 safi sana,lakini abadilike
Habibu B. Anga JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 6,557 Reaction score 25,749 Jul 15, 2013 #19 Mingoi said: [FONT=comic sans ms]Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipia [/FONT] Click to expand... kwahiyo??? tukusaidieje?
Mingoi said: [FONT=comic sans ms]Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipia [/FONT] Click to expand... kwahiyo??? tukusaidieje?
Habibu B. Anga JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 6,557 Reaction score 25,749 Jul 15, 2013 #20 Mingoi said: Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji Click to expand... kaone! hakana hata hoja, unajaza server tu kwa ushu*!zi
Mingoi said: Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji Click to expand... kaone! hakana hata hoja, unajaza server tu kwa ushu*!zi