Ludovick Afunguka - Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare

msema uongo ni sawa na mtu aliefukia mbegu za mahindi huku akidai amepanda karanga,aibu itamkuta siku mahindi yakichomoza.one day secret wil be naked.
 
we Ludo tamaa imekuponza na tamaa hiyo itakupelekea mauti kama usipobadirika.watch out
 
Eti Mwigulu ni Rafiki yangu.

Shame on you Msaliti Ludovick.

Tangu lini mwanga ukapatana na giza?

Mbona hamushangai Halima Mdee kuwa na urafiki na Esther Bulaya? Kupishana Sera za chama zipelekee marafiki kuhitilafiana?
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa onyo Kali mshtakiwa namba mbili katika kesi ya kutaka kumdhuru kwa sumu mhariri wa gazeti la mwananchi.

Onyo hilo la hakimu wa mahakama hiyo limetolewa asubuhi hii kufuatia Ludovick kukaririwa jana akifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusiana na kesi yake.Pia Ludovick alienda mbali zaidi na kumzungumzia mshtakiwa mwenzake ambaye ni mkurugenzi wa Ulinzi CHADEMA Wilfred Lwakatare.

Mahakama imesema taarifa iliyotolewa na gazeti la Mtanzania la jana haikubaliki na ni kuingilia mwenendo wa kesi hiyo.

Hakimu ameonya endapo mshtakiwa huyo atarudia kosa hilo atakamatwa mara moja na kufutiwa dhamana yake na pia gazeti litakalohusika kufungiwa.

Ludovick Joseph alikaririwa na gazeti la Mtanzania akizungumzia undani wa kesi hiyo huku akionyesha kukisukumia lawama CHADEMA kwa kumtenga na kumuita msaliti.

Pia alionekana kumsafisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba kwa kusema ni mshirika wake na rafiki yake mkubwa ndiyo maana hata ilifikia kutumiwa fedha kwa njia ya Mpesa na kiongozi huyo wa chama tawala.
 
Mods

Hii ilipaswa ibakie peke yake, hamjaitendea haki kuiunganisha huku.

Au la, Iwekeni mwanzo kabisa kama addition katika thread ili mtu aone main post na additional yake.
 
Huyo saliti Ludovick aje hapa JF!!! Tena akae mbali na CDM kama ambavyo tunamtaka yule jamaa akae mbali na tembo wetu. Shame on you Ludovick. Kwa harakaharaka tu utaona kuna bond kubwa na Mwigulu na ni kweli ametumwa CDM kufanya kazi maalum kama ambavyo yule mhariri alivyotafutiwa makazi jirani na kiongozi wa masalia ili apate kumpeleleza zaidi. Shame on you nyie wachumia tumbo wote!!! Kwa nini ahamishwe Secretary wa shirika kwa lazima kasha eti kumleta agent aje ku team up na kiongozi wa masalia ili waimalize CDM? CDM kuweni makini sana, tena sana. At the same time, nawaomba CCM tumieni fair game, msilazimishe mambo. Mnatumia nguvu nyingi sana kujiweka madarakana at the expenses of our tax money!!!! Nashauri Ludovick atafutie naye nyumba, et kwa security yake!! Over my dead body!!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa onyo Kali mshtakiwa namba mbili katika kesi ya kutaka kumdhuru kwa sumu mhariri wa gazeti la mwananchi.

Onyo hilo la hakimu wa mahakama hiyo limetolewa asubuhi hii kufuatia Ludovick kukaririwa jana akifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusiana na kesi yake.Pia Ludovick alienda mbali zaidi na kumzungumzia mshtakiwa mwenzake ambaye ni mkurugenzi wa Ulinzi CHADEMA Wilfred Lwakatare.

Mahakama imesema taarifa iliyotolewa na gazeti la Mtanzania la jana haikubaliki na ni kuingilia mwenendo wa kesi hiyo.

Hakimu ameonya endapo mshtakiwa huyo atarudia kosa hilo atakamatwa mara moja na kufutiwa dhamana yake na pia gazeti litakalohusika kufungiwa.

Ludovick Joseph alikaririwa na gazeti la Mtanzania akizungumzia undani wa kesi hiyo huku akionyesha kukisukumia lawama CHADEMA kwa kumtenga na kumuita msaliti.

Pia alionekana kumsafisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba kwa kusema ni mshirika wake na rafiki yake mkubwa ndiyo maana hata ilifikia kutumiwa fedha kwa njia ya Mpesa na kiongozi huyo wa chama tawala.
Molemo mkuu tunaomba post hii ianzishe kama thread inayojitegemea ili tuchangie kwa ufasaha kabisa. Kwa taarifa tu kuna a very close connection kati ya mhariri, ludo na yule kiongozi wa masalia. Kwa mantiki hii mhariri yuko kazini, anafanya kazi waliopangiwa!!
 
Wana JF. Hebu nisaidieni. Hivi Ludovick anaweza kupokea TZS 50,000/= na kusaliti chama? who is he after all unajua mimi simjui vizuri huyu kijana naomba msaada wenu.
 
du!..mwisho wa ubaya ni aibu. siku zote Mungu hafichi mnafiki, ludo tunakuomba uje huku jf ili utujuze baadhi ya mambo ambayo hukuyatolea ufafanuzi na bado yanakuweka wewe ludo katika kundi la wasaliti.
 
Eti Mwigulu ni Rafiki yangu.

Shame on you Msaliti Ludovick.

Tangu lini mwanga ukapatana na giza?
Khaa!! wewe vipi?? wenzenu wakitoka bungeni baada ya kupokea posho zao zilizonona wanakaa hata bila kujali itikadi za vyama vyao wanakula nyama choma pamoja. Halafu nyie mnaolipwa posho mbuzi ndiyo mnatoana macho kitaani kwa tofauti za kisiasa. Shame on you!!!
 
ludovick wewe ni mnafiki na kwa sababu umekunywa damu ya unafiki basi utaendelea kuwa mnafik tu....huna jipya....
 
aisee Ludovick,sijui atanifanyaje nimuelewe na kumwamini..naomba tu tuiachie mahakama kwa sasa because you can tell me nothing.
 
aisee Ludovick,sijui atanifanyaje nimuelewe na kumwamini..naomba tu tuiachie mahakama kwa sasa because you can tell me nothing.

And what about lwakatare? Ludo and lwaka are connected codes by this time.. You fail to understand him.. You fail to xplain lwaka too..
 
Kuna swala hapa ni gumu sana kulielewa. Labda uelewa wangu juu ya hili jambo ni mdogo!

Wengi tuna mshtumu ludo kwa usaliti. Swali ni usaliti upi hasa??

Kama wengi tunaamini kwamba lwakatare hakufanya kile tukionacho kwenye ile video clip! Tunasema si yeye aliyesema, tukasema ameonewa kwa kubambikiwa na mambvo kama hayo lakini tunaacha kuamini kwamba inawezekana kabisa nae ludo hana hatia juu ya hilo jmabo!

Kumuhukumu ludo kwa kumuita msaliti na mambo kama hayo yana halalisha kabisa ukweli wa uhusika wa lwakatare katka sinema hii inayo sisimua
 
Ludovick: “Magessa, Lwakatare tumekutana Bukoba 2010 wakati wa kampeni. Tumefahamiana kwa sababu ya Chadema tu. Na ameendelea kuwa rafiki yangu na kiongozi wangu. Siku ya tukio la kurekodiwa nilikuwa nyumbani kwake
Lwakatare. Siyo muhimu juu ya location”.

Na hapa anasema
"Leila teh teh kwamba nilitumwa kurekodi ile kanda!!! Yaani na Lwakatare naye akatumwa ili aongee haya tunayotuhumiwa kuyapanga? Na je, suala hili ikionekana kuwa ni kweli Lwakatare alilifanya, nani atakuwa msaliti kwa Chadema? Je, chama chetu kinazo sera za kudhuru waandishi?"

Mimi sitii neno ngoja niendelee kusoma comments za wengine.
 
Ludovick ni mwanachama aliyehai kwa kadi LAKINI dhamira na matendo yake sio mtu mwenye nia sahihi ya kuleta MABADILIKO kwa jamii ya WATANZANIA, LUDOVICK NI KIBARAKA WA MWIGULU NCHEMBA NA CCM KWA UJUMLA WAKE.
 
Back
Top Bottom