Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Utofauti wao mwingine kati ya Lucy Owenya na Lucy Mayenga ni kwamba Lucy Mayenga ni MZURI , MREMBO SANA, MACHO DAAH UTALALA , HAKYAMUNGU DAAAH wapi mamaaaLucy Mayenga halafu ana kimwanya cha juu, Lucy Owenya sio mrembo kabisa



Mh. Lucy Mayenga



Mh.Lucy Owenya
 

Attachments

  • upload_2017-4-17_14-34-23.jpeg
    2.9 KB · Views: 52
  • upload_2017-4-17_14-34-44.jpeg
    2.2 KB · Views: 48
Huyu ndo mwenye kashifa chafu ambazo zimeenezwa instagram?. Dah! Pole yake
Inashangaza kuona lugha zinazotumika halafu viongozi wetu tuliowachagua wana press "like".
 
Kizuri hakikosi kasoro.Naona bahima empire kwenye ubora wao.R.I.P Mtikila
 
..Mh.Lucy Mayenga anafikiri jukumu la wabunge ni kuanzisha biashara na siyo kutunga sheria au kuisimamia serikali.

..Mh ametumikia ubunge zaidi ya miaka 10 sasa!!
Bungeni kuna wabangaizaji pia...kama sehemu nyingine yoyote. Ila itakuwa bahati mbaya kama kuna watu sababu ya kukaa sana wakageuza ndio kijiwe cha kupigia soga...kwetu hapa hilo halishindikani
 
Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone
Uko sahihi mkuu, kama Taifa sijui tunakwenda wapi kwa kumwamini Mange kuliko serikali yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…