Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 7,357 Reaction score 7,636 Apr 17, 2017 #2 Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi
Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 17, 2017 #3 Huyu ndo mwenye kashifa chafu ambazo zimeenezwa instagram?. Dah! Pole yake. . Hii ni harusi yake ya NNE. Mbunge Viti Maalum Shinyanga Mjini, LUCY MAYENGA azomewa.
Huyu ndo mwenye kashifa chafu ambazo zimeenezwa instagram?. Dah! Pole yake. . Hii ni harusi yake ya NNE. Mbunge Viti Maalum Shinyanga Mjini, LUCY MAYENGA azomewa.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 17, 2017 #4 Tangawizi said: Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi Click to expand... Mtoto wa Ndesamburo.
Tangawizi said: Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi Click to expand... Mtoto wa Ndesamburo.
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 7,357 Reaction score 7,636 Apr 17, 2017 #5 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mtoto kama mtoto au mtoto kama baby wa Ndesamburo? Ng'ombe inasemekana hazeeki maini😀😀😀😀😀
Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mtoto kama mtoto au mtoto kama baby wa Ndesamburo? Ng'ombe inasemekana hazeeki maini😀😀😀😀😀
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,815 Reaction score 6,529 Apr 17, 2017 #6 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Nahisi majina yanafanana mkuu😀😀
K kipumbwi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 3,196 Reaction score 9,200 Apr 17, 2017 #7 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mkuu una uhakika ama unapiga propaganda hapo Lumumba ili uende msalani?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!
Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mkuu una uhakika ama unapiga propaganda hapo Lumumba ili uende msalani?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!
K kipumbwi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 3,196 Reaction score 9,200 Apr 17, 2017 #8 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mkuu una uhakika?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!
Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Mkuu una uhakika?! Mtoto wa Ndesamburo anakuwa mbunge wa CCM?!
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,593 Apr 17, 2017 #9 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut.
Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 17, 2017 #10 Morinyo said: Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut. Click to expand... Asante nimechanganya majina.
Morinyo said: Hapana yule Lucy Owenya huyu ni Lucy Mayenga ni wawili tofaut. Click to expand... Asante nimechanganya majina.
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,205 Reaction score 14,132 Apr 17, 2017 #11 Mbona wanadai ni mnyarwanda sio mtanzania atakuwaje mtoto wa Ndesamburo?! Kumekucha!
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Apr 17, 2017 #12 Ndio huyu CV yake inazagaa huko Instagram! Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo! Pole yake
Ndio huyu CV yake inazagaa huko Instagram! Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo! Pole yake
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 17, 2017 #13 CV ya Mhe. Lucy Mayenga
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 17, 2017 #14 Pakawa said: Mbona wanadai ni mnyarwanda sio mtanzania atakuwaje mtoto wa Ndesamburo?! Kumekucha! Click to expand... Mtoto wa Ndesamburo ni Lucy Owenya mbunge wa CHADEMA
Pakawa said: Mbona wanadai ni mnyarwanda sio mtanzania atakuwaje mtoto wa Ndesamburo?! Kumekucha! Click to expand... Mtoto wa Ndesamburo ni Lucy Owenya mbunge wa CHADEMA
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 17, 2017 #15 anajifagilia apate uteuzi huyu si kwa povu hili.
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 17, 2017 #16 Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Huyu ni mtoto wa shinyanga mjini. Mbunge Viti Maalum Shinyanga Mjini, LUCY MAYENGA azomewa.
Sky Eclat said: Mtoto wa Ndesamburo. Click to expand... Huyu ni mtoto wa shinyanga mjini. Mbunge Viti Maalum Shinyanga Mjini, LUCY MAYENGA azomewa.
M musami JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 1,434 Reaction score 460 Apr 17, 2017 #17 ngushi said: Ndio huyu CV yake inazagaa huko Instagram! Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo! Pole yake Click to expand... Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone
ngushi said: Ndio huyu CV yake inazagaa huko Instagram! Kweli duniani ni kusitiriana ukijifanya unajua wenzio wanajua zaidi, ona sasa wamemvua nguo! Pole yake Click to expand... Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone
comrade igwe JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 7,295 Reaction score 3,951 Apr 17, 2017 #18 Msichanganye Majina yule mtoto wa Ndesamburo na anaitwa Lucy Owenya lakini huyu Ni Lucy Mayenga hiyo veep vip????
Msichanganye Majina yule mtoto wa Ndesamburo na anaitwa Lucy Owenya lakini huyu Ni Lucy Mayenga hiyo veep vip????
pappilon JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 3,192 Reaction score 3,565 Apr 17, 2017 #19 Rais2020 said: CV ya Mhe. Lucy Mayenga Click to expand... Mbona ana sura ya kinyarwanda kabisa....au ni kweli kuwa ni mnyarwanda..???ila kasema amekaa sana Rwanda uswahilini na masaki pia...sasa sijui kukaa kwake mimicry probably took place???who knows..
Rais2020 said: CV ya Mhe. Lucy Mayenga Click to expand... Mbona ana sura ya kinyarwanda kabisa....au ni kweli kuwa ni mnyarwanda..???ila kasema amekaa sana Rwanda uswahilini na masaki pia...sasa sijui kukaa kwake mimicry probably took place???who knows..
sheiza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 7,634 Reaction score 11,691 Apr 17, 2017 #20 musami said: Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone Click to expand... Amefanikiwa kuvuna nzi wengi sana..kweli nzi hufata kinukacho..
musami said: Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone Click to expand... Amefanikiwa kuvuna nzi wengi sana..kweli nzi hufata kinukacho..