Ha ha ha binamu hebu weka kapicha kengine anakoonekana vizuri nimjue, mi namsikiaga ila simjui...Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
Lucy kumbe ana mtoto,nilikua sijuuiii,nenda nae mwayaaa akipenda boga apende na ua lake
Ndio ana mtoto, kuna kipindi alikuwa anaishi pika pakua na mdogo wake IMA Mbasha....na yeye Mario tuu...
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
STAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Lucy Komba amekwea pipa
kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Akipiga stori na paparazi wetu kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark , Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake , pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa mwanaume huyo anampenda sana mtoto wake japo hajazaa naye ndiyo maana akaamua kuondoka naye akamlee.
Najua mtu anaweza kuongea vyovyote , mimi nilimmisi mume wangu na mwanangu naye alitamani sana kuja kumsalimia baba yake ndiyo maana nikamleta huku amlee ila baadaye atarejea Bongo , alisema Lucy
Huyu mzungu mmbona sura yake kama kabemendwa
labda anamapesa km baba kenzo..... Hahaha ila wabongo jamani.... Lol!mzungu pori huyo
labda anamapesa km baba kenzo..... Hahaha ila wabongo jamani.... Lol!
Ha ha ha binamu hebu weka kapicha kengine anakoonekana vizuri nimjue, mi namsikiaga ila simjui...
bongo movie nawajua lulu na wema tu!!!
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
Huyu mzungu mmbona sura yake kama kabemendwa