😂😂😂Anakuzidi nn?
Civilization kwako ni 0%.Analika vizuri tu huyu bado mbichi
Upweke eti😂😂😂Anakuzidi nn?
😂Polesana ngoja nitafute wadau tuone tunakusaidiaje😂Upweke eti
DuhAnalika vizuri tu huyu bado mbichi
PM umeniblock sawa😂Polesana ngoja nitafute wadau tuone tunakusaidiaje😂
Hivi waliozeeka sana wale mke na mume huwa wanauwezo wa kufanya tendo la ndoa au ndo wanakuwa hawana nguvu??Maskin [emoji2301][emoji2301] pole zake
Uzee mbaya sana hasa ukiwa huna hata wajukuu au mume
Niliota Jana nimepigwa balaa zilezile km za Mandonga haujaoa lkn maana sio Kwa ndoto Ile😂😂😂😂PM umeniblock sawa
Inategemea,Maskin [emoji2301][emoji2301] pole zake
Uzee mbaya sana hasa ukiwa huna hata wajukuu au mume
Hata kama wasiposhiriki tendo lakin wanakuwa pamoja wanapiga stori ,wanakula pamoja hiyo ni tosha kabisa inasaidia kukufanya usiwe mpweke,ile akili tu kujua tu ndani kuna mwenzangu ni tiba tosha ya upwekeHivi waliozeeka sana wale mke na mume huwa wanauwezo wa kufanya tendo la ndoa au ndo wanakuwa hawana nguvu??
Lakin upweke lazima utapata tuInategemea,
Kwa mfano masista na mapadre wanaamini watawa wenzao wanaowazunguka ndiyo dada zao, kaka zao, mama zao, baba zao nk.
Na wote wanaunganishwa na KRISTU katika familia yao.
Kwa hiyo kwao kutokuwa na familia kama zetu siyo tatizo, sababu ya uchaguzi wao kwa kuwa wana wito huo.