Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

keteka

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
149
Reaction score
52
Mh.Wasira alihudhuria kikao hicho cha wazee na kupa nafasi Mh.Dkt.Webiro kuwa kiongozi wa ukoo kwa watu wa Bunda , na kila wakati zilisikika nyimbo za asili eka ibukile wibeze Mh.Webira eka yetu maana yake huyu ni simba kaeni mbali acha ongoze ni wetu na ni wa kwetu Mungu msaidie.

Webiro ni chaguo la Bunda Mjini, tunamhitaji na tunamuamini anaweza kutusaidia, usiogope tutashinda kazi kwetu wanabunda.
 
Kaka ww simba si misukule ya ccm na hata ndani chama ww mbunge bila ww bunda kazi imekwisha hapa dkt.webiro
 
Huyu si ndie yule mweye skendo ya kumpiga mama yake na wana bunda hawamtaki kwa sababu alifanya vibaya kumfuata mama yake na kumpiga natumaini kesi yake bado iko mahakamani


swissme
 
Huyu si ndie yule mweye skendo ya kumpiga mama yake na wana bunda hawamtaki kwa sababu alifanya vibaya kumfuata mama yake na kumpiga natumaini kesi yake bado iko mahakamani


swissme
Umemfukuza jamaa, hutomwona tena.
 
Wakati ccm wilaya ya bunda wa kiendelea na kikao cha ndani hapa mjini wa hofi kukutana simba Mh.Dkt.lucas webiro waanza taratibu za kuwa mamawakala wa kuthibiti wafuasi wake hapa kila anayetoka nje hili jimbo ni la Dkt.lucas webiro hata sisi tunamuunga mkono hatutaki wachumia tumbo,watu wa kwenda kuzinzia bunge,hatutaki watu wasio na hoja ila wana pesa,hatutaki watu wa makundi tunataka atakaye tuwema pamoja huyu mh.Dkt.lucas webiro
 
Hii ndio wilaya ya kazi kwa mh.Dkt.lucas webiro anayesubili kupishwa bungeni hivi karibuni
 
Hii ndio wilaya ya kazi kwa mh.Dkt.lucas webiro anayesubili kupishwa bungeni hivi karibuni

Jidanganye kuna mtu anaitwa Steve yupo pale bunda chuo cha walimu lazma achukue hyo mkuu kupitia chama cha wananchi CUF ni hatari sana hyu jamaa
 
Bunda wapo Tayari na Pius Masururi
 

Attachments

  • 1429032064177.jpg
    1429032064177.jpg
    79.7 KB · Views: 246
Huyo anajidanganya.

Huu ndo mwaka wa mwisho kwa cCM kushinda jimbo la bunda.

Wajinga hawatakubali, wapumbavu watabisha, wajanja wanaelewa wazi.
 
Back
Top Bottom